Recent content by jzac

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu naombeni odds tano japo nipoze maumivu, jana na leo kila sehemu nikigusa nakula za uso
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hata mimi nilikutana na hilo tatizo ikanibidi nilazimishe interface yao ya zamani ndio inakubali kutoa reference number inayokubalika kwa tigo pesa
  3. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Lowassa kwa Ushindi huu wa Raila Odinga mtaweka wapi sura zenu?

    Mimi naona ungesubiri uchaguzi urudiwe baada ya mahindi kupatikana ndo utoe hii post yako.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Magazeti ya Nipashe na Mwananchi yapewa onyo na serikali juu ya uandishi wa habari za bomoabomoa Kimara

    Na mimi nasisitiza, ni mateso wananchi wanapata!!
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau naombeni odds 5 za uhakika nilipuke!
  6. J

    JamiiForums Tanzania Makonda, piga marufuku kuangalia soka Ulaya tukuze letu

    na Logan umemmsahau mkuu
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kweli ni sahihi kwa Mh. Nape kumuita Afisa usalama mpuuzi?

    ndo atumie bastola kuwa ni kitambulisho? Tena na mm nasema ni mpuuzi wa kupindukia
  8. J

    JamiiForums Tanzania Azam Tv mihemko itawapeleka shimoni

    hivi wamiliki wa hizo kontena mbona hawajatajwa?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Azam Tv mihemko itawapeleka shimoni

    ulieandika huu uzi boya tu
  10. J

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi(CCM) wamtoa machozi Eric Shigongo, wamwambia kunywa maji

    Acha na yeye aisome number
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Aiseee tupo
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yaani we acha tu...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huyu jamaa nimemmisi kidogo tu...
Back
Top Bottom