Recent content by JYTK

  1. J

    JamiiForums Tanzania Manunuzi ya vitu eBay na Amazon

    Na ukifanyiwa uhun kma ivyo hmna sehemu unweza complain??
  2. J

    JamiiForums Tanzania Manunuzi ya vitu eBay na Amazon

    Ndugu zangu me nauliza ukinunua kitu eBay au Amazon kinaweza kikanifikia salama Tanzania???
  3. J

    JamiiForums Tanzania Magufuli ana nia nzuri lakini mfumo utamkwamisha

    Ji kweli ila kama mwanaume ambaye ambaye ameaminiwa na watanzania wote ji lazima asimame kwenye misimamo yake na afanye kile kitu sahihi kwa watanzania wote bila kujali uchama wala udini. Hiyo ndo njia ya pekee ya kuutoa uchafu ndani ya chama
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Kikwete na wafanyabiashara

    Hapana ndugu. Kosa likifanyika ni lazima mkosaji awajibike. Kwa hiyo wakwepa kodi ilifaa wapate penalties kwa kukaa na pesa za serikali. This is not serious. Tutaendelea kuwafuga hawa wezi mbaka lini???
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tunapocheka Wanapolia, Tusisahau Tutaacha Kucheka na Kuanza Kulia!

    Sisi tunataka kila mtu awajibike na ale kwa jasho lake nq hqki itendeke popote pale. Hayo yote yakikaa vizuri hakuna mtu atahitaji kutoa rushwa wala mtu atahitaji kupokea rushwa den we will have new Tanzania ambayo watanzania tunaipenda n not otherwise. Kwa mfano kama mtu una uhakika kua ukifika...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ufisadi wa $600m hati fungani za Serikali, tusikubali ya Rada!

    Zitto nakuung mkono kwa 100% namsihi na mheshikiwa raisi atumbue majipu zaidi.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Raisi Magufuli alipaswa awe Paris leo hii!

    Jaman tuache ushabiki wa chama tuangalie maslahi ya nchi jamani. Kwani angeenda nchi ingepata faida gani? Mwache atulie tujenge nchi yetu hapa. Kwani kingereza ndo kimejenga barabara,kimenunua vitanda muhimbili, au kitatatua matatizo yetu???Mwacheni aimarishe uchumi wetu jamani.
Back
Top Bottom