Recent content by jwille

  1. jwille

    iPad for sale

    Imeshawekwa software zote za apple ikiwepo adi office pack ya apple
  2. jwille

    iPad for sale

    Bei 500K
  3. jwille

    iPad for sale

    Ipad 3 inauzwa kwa bei poa. Imetumika miezi 6 na ipo kwenye hali yake ya ubora ile ile. Nakupata Gurantee ya miezi 6 ikisumbua niletee nitaitengeneza kwa gharama zangu. Serious buyer only 255683 150 426
  4. jwille

    Je, Umesumbuka kupata huduma za IT au vifaa vya IT?

    Pia tuna Unlock all iphone smart phone na smart phone zote pamoja chochote kinachohusu software za simu
  5. jwille

    Je, Umesumbuka kupata huduma za IT au vifaa vya IT?

    Unaweza pia kupitia mtandao wetu wa website: ( www.itexpert- laptopexpert.com )
  6. jwille

    Je, Umesumbuka kupata huduma za IT au vifaa vya IT?

    Je Umesumbuka kupata huduma za IT au vifaa vya IT? It expert ni watalam wa maswala ya Computer na Wauzaji wa vifaa vyenyewe kama ifuatavyo:- DATA REVOERY LAPTOP REPAIR LAPTOP MOTHER BOARD REPLACEMENT WINDO INSTALLATION 7; 8 10 Driver installation Memory replacement/ upgrade MAC os installation...
  7. jwille

    Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

    ALIENS NI VIUMBE GANI? Hawa ni viumbe vya nguvu za giza vinavyokaa au kumiliki anga. wanaojua mambo ya mapepo wanajua hili vzr sana. kuna viumbe wanamiliki na kuishi majini na wana mkuu wao na kuna viumbe vinamiliki anga na wana mkuu wao wa anga. uko ndiko sayansi yote ya dunia inatokaga uko.Je...
  8. jwille

    Cooling laptop table for 230k

    Usipakate laptop kwenye mapaja joto linalotolewa na laptop linaweza kuathiri ukuaji na kuzaliwa kwa cell hai zako za mwili.ivyo hepuka kujizuru kwa kununua Cooling Laptop Table @ Tzs 230, 000/. Meza hii mbali na kutunza utumiaji wa laptop yako pia inapunguza joto kinalozalishwa na laptop kwa...
  9. jwille

    Aliewahi kuugua matatizo ya akili anamjua Mungu na siri zake zote, amini mfano hai huu

    Ivi hawa maagent ya wa zile sociaty za kishetani mbona hamuelewi? Humu mitandaoni sio sehemu yenu ya kueneza propaganda zenu mlizotumwa kudanganya watu.Ulichaa na Mungu wa kweli wapi na wapi? Mbona unataka kudanganya watu. Unavyosema mungu najuabu unamaanisha Miungu yako ya kishenzi ndo huwa...
  10. jwille

    Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

    Siku yenu kubwa ni Alhamis ndo kila alhamis hata foleni huwa zinapungua sana mjini?.Mnatoa rehani nafsi zenu!!! Ivi kwanini nyie ndugu.Lucifer anawadanganya sana.. Moto wa jehanamu upo palepale we jifariji tu na iyo sociaty yenu..Si unakumbuka ile siku ya kwanza walivyokutambulisha kule kuzimu...
  11. jwille

    Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

    Mbona unaluka kujibu maswali saa nane usiku mkiwa uchi uku mkitumia damu za watu huwa mnafanyaga nini? Kwanini umeuza nafsi yako? Na je iyo sociaty yenu ya kichawi ndo imewagundisha kuwa binadamu hana Mungu? Alafu ule mwezi wa nne wote mlikusanya damu pipa ngapi maana mliua sana kwa ajali...
  12. jwille

    Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

    Wewe na wenzako uyo lucufer anawadanganya sana na leo mnadiliki kusema hamna Mungu.Mnatumika kuandaa njia ya 666.Mmeuza nafsi zenu kwa lucufer.poleni sana.Kule kuzimu wanapowapelekaga kwani hawajawahi kuwambia kuwa lile ni Gereza lake na aliwekwa uko na mwenye maalaka..Pale mnapofanyaga ritual...
  13. jwille

    Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

    Habari wote. Maada hii ni ya kishetani na imetoka kwa wale ambao ji wanachama wa chama cha nguvu za Giza.hawa ni waabudu shetani ambao kwa sasa wanajaribubkuja wazi wazi kwenye mitandao na kuanza kujiposition na kuleta mawazo ambayo yatajaribu kubadili fikra za kweli za uwepo wa uflame wenye...
  14. jwille

    Milio ya risasi yasikika usiku Bujumbura

    Kwa source za vyombonvya habari vya kimataifa ni kiwa hakuna tena serikali ya kiraia pale burundi..hata kama jeshi tiifublitashinda nchi ishaaribika ni vigumu sana kukaa sawa.kwa mtazamo ni kuwa nkurunziza alishindwa kuforeseen na kudetect the out come ya maamuzi yake aliyoyaamua kwa weredi wa...
  15. jwille

    Uchawi: Hii ndio athari ya kutumia dawa ya kuona wachawi

    Izo zote ni nguvu za giza ni roho chafu itendao kazi gizani...wachawi na waganga wote hutumia roho chafu kufanya kazi zao.wote wamelaaniwa na Mungu..Ndio maana kazi zao hufanyika kwa siri kubwa. Je tinaangaikia ayo mambo yote ya kazi gani wakati Yesu christo alishakufa msalabanj kwa ajili ya...
Back
Top Bottom