Asante Vitoni Pamagila kwa ujumbe wako kwenda kwa watanzania.
Interesting Read, CnP:
YOU KNOW WHY??...
Coz IT HAD TO BE....
(a)SHERIA inasema SPIKA anaweza kuwa Mtanzania yeyeote mwenye sifa za kuwa mbunge. (Means si lazima awe mbunge)
(2)"Dola" inataka Dr.Tulia awe SPIKA lakini upepo wa...
Ukisoma hii threat vizur utagundua huyu ni wale wale,;!
Eti anasema mawazo alikuwa mtata sana,( mgomvi)
Kwahyo yeye kuwa mgomvi ni tatzo kwa ccm;!? Maana iko wasi kauawa na green guard,.
Na ukawa nao wakitangaza hivyo itakuwaje;!? Au nyie ndio wenye mandate tu, ukawa wakitangaza tunaambiwa ni uvunjivi wa Amani;!
Poor pombe fans:;;;;;;;;;;;
Ukisoma comment yangu compare na ya kwako utaelewa na akili yake ni robo GB,. Mwenye hekima huenda aja na kuijficha Bali mpumbavu husonga mbele na kuvimba kichwa,.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.