Update
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya Ulrich Matei amesema Polisi wa kutosha wameshatinga ktk Kijiji ambacho RC Chalamila ameagiza wananchi wake wakamatwe tayari kutekeleza agizo hilo.
"Kilichofanywa na Wananchi hao ni Uhujumu uchumi hivyo lazima washughulikiwe". #MillardAyoUPDATES
Kuna watu wengi sana siku hizi za rafu za kuhama vyama vya siasa kutoka upinzani kwenda chama tawala (CCM), Wamekuwa wakifurahia sana. Lakini WENGI Hamjui madhara yake licha ya gharama za Uchaguzi katika marudio, eti mnatamani nchi yetu iwe chini ya chama kimoja.
*MPO SERIOUS KWELI..??*
Hebu...
Mwenyekiti wa mtandao wa wanafunzi Abdala Nondo ambae anakabidhiwa na kesi kutekwa (kujiteka) katika mahakama ya Iringa amesimamishwa kwa muda kuendelea na Masomo yake katika chuo kikuu cha Dar es salaam alipokuwa akisoma shahada yake ya Political science;
Barua toka chuoni inasomeka hivi...
Afu mwisho jisifie, kama yeye alikuwa anajua since 2015 kwann hajachukua hatua, kwani ni mara ya kwanza kufika hapo bandarini??? If you can't convince them confuse them;
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.