kinacho semwa inaweza kua ni sawa au sio sawa mi si mwanasiasa ila ninachotaka kusema ishu ya richimondi hakuusika peke yako mbona wengine hawatajwi mfano raisi we utajua ni raisi yupi ni lazima tukubari tumeumizwa sana lakini huo ni udhaifu wa viongozi wengi inchini
DA hii nimeielewa kweri kutoka kwa mh : sugu mbunge wa mbeya mjini kasema ukweli hii ndio siasa tunazozitaka bara bara mbovu na zimetengenezwa kwa kodi ya wanainch maisha magumu vijana hawana ajira unakaa na kuanza kujisifia ujinga wako si ukakae umdanganye mke wako mweshimiwa magufuri ili...
jukwa hili sio la wahuni ni jukwaa la watu wenye akiri timamu wenye heshima jifunze kutumia lugha vizuri ukileta lugha za kihuni utakutana na wahuni wenzio mke mzuri au mchumba mzuri hutafutwa kwa lugha nzuri nenda shule kaajifunze lugha ukiwa sawa na ukafahuru somo lugha njoo uweke posti zako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.