Serikali makini ..ambayo haijali vyama huyu kamanda angepewa hata ujaji mkuu wa nchi.....natamani ningekuwa karbu unifundishe ujisir usiokuwa wakujipendekeza
Umoja unahitaji kutekeleza hilo lakini mi nailaumu serikali kwa sababu imekuwa bubu badala kukaa mezani na kuyamaliza lakini ndo kwanza wanatoa vitisho..
Ngoja tusubiri ila naamini hawataathirika wanachama, mashabiki wala wapenzi wa vyama pinzani bali ni wananchi wote....magufuli take care ICC...
Nyie mnaolopoka vile mna ushahidi au mnajifurahisha tu we ni mtanzania chukua jukumu LA kumshtaki utasikilizwa unawategemea wampeleke wameshindwa mpelekeni nyie sasa.....tulizeni munkari sidhani kama mnajua hii issue kwa undani.
Maendelep yatakujaje kama watu wanaleta uvyama hadi kwenye huduma za msingi?
Hayo madawati hawezi kalia mototo wa bulaya pekee au mtoto wa chadema ila ni watz wote....
Pitieni vyeti vyao hawa madiwani
Lengo LA ukuta c kuvuruga amani au kuleta vurugu mbona serikali inatumia nguvu nyingi kuliko akili nyingi, wangekuwa watangaza vurugu au vita hapo mdo mngeanza kujihami....kwel Tanzania imeingiliwa na bora viongozi.
Makonda acheni watu wafanye mambo yao badala ya police kutumia muda mwingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.