Bunda: Madiwani wa CCM wagomea Madawati yaliyotolewa na Mbunge wa CHADEMA Mh. Bulaya

Madiwani wa CCM Jimbo La BUNDA MJINI wamekataa kuchukua madawati yaliyotolewa na Mh Ester Bulaya kisa Yameandikwa jina la Mbunge huyo habari na Lucas Mhavile TN Bunda mjini

My Take;
Ikiandikwa kwa Msaada wa Marekani, China, Japan au kwa Msaada wa Manji Clinton Trump n.k, ndo inaonekana ya maana na tunashangilia sana. Watanzania tuna Safari ndefu kuifikia Tanzania ya Viwanda kama hali ndo hii huko Mikoani.
View attachment 377052 View attachment 377053
Aisee,kweli tuna safari ndefu kiongozi,walitaka yaandikwe 'KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI 'kweli elimu ni shida
 
Mamburula yanaangalia maslahi finyu ya ccm badala ya mateso ya wanafunzi, na walikuwepo wakati madawati yanatoweka madarasani nchi nzima!
 
Madiwani wa CCM Jimbo La BUNDA MJINI wamekataa kuchukua madawati yaliyotolewa na Mh Ester Bulaya kisa Yameandikwa jina la Mbunge huyo habari na Lucas Mhavile TN Bunda mjini

My Take;
Ikiandikwa kwa Msaada wa Marekani, China, Japan au kwa Msaada wa Manji Clinton Trump n.k, ndo inaonekana ya maana na tunashangilia sana. Watanzania tuna Safari ndefu kuifikia Tanzania ya Viwanda kama hali ndo hii huko Mikoani.
View attachment 377052 View attachment 377053
Mfuko wa jimbo siyo hela za Mbunge hivyo afute jina hilo mnara moja; HAO MADIWANI WAKO SAWA NA SAHIHI
 
Kinakuuma nini wew. Kwani yeye si ndo mbunge wa jimbo hilo!? Na wao watengeneze yakwao waandike majina yao. Waache uchama kikubwa maendeleo yapo

Huko Moshi waliwahi kukataa Ambulance iliyotolewa na Mbunge Philemon Ndesambiro ,ila peoples power iliwazidi ikabidi wapokee,sasa hii ya madawati sishangai.

Alafu baadae utaskia wanasema wanaonewa kwenye ajira maana watoto wao wataishia darasa la saba,Wataenda JKT ilhali ya wenzao huko kilimanjaro wanafika vyuo,wanakuwa watawala ,administrator wanaotumia akili na hawa Wa Mara wanatumia nguvu
 
Mental poverty is simply an impoverished mind. It is a way of living for some. It is a condition and state of mind where there are limited educational resources and if there are educational resources, one chooses to avoid them. It is a system that exists where the norm is ignorance and refusal. Refusal to change, to try and learn new and better ways of not only thinking but also putting thoughts into action. It is essentially a poor mind.
 
bora wayakatae kwani ester anatekeleza ilani ya CCM??????????????
AU NDO MAMBO YA MSINDAI KAANZA POLE POLE; NAONA ANATAKA KURUDI KIMYA KIMYA CCM.

MBONA WABUNGE WA CHADEMA NA CUF WAMEGOMA KUCHANGIA MADAWATI; KWA SABABU HAIPO KWENYE ILANI YAO;
1470500276033-jpg.377036

MFUKO WA JIMBO SIO MFUKO WA MBUNGE ;

KAMA NI JIMBO LIANDIKWE BUNDA;

LAKINI KAMA NI MFUKO WA MBUNGE NDO LINGEANDIKWA ESTER;

PIGANIENI HAKI MADIWANI MPK LIANDIKWE JIMBO LA BUNDA .
 
Watu wakielimika hawawezi kuwatawala . By the way mi naona poote wafadhili wanaweka chata zao.

Halafu hayajaandikwa CDM kama ndio wivu wenyewe
ANGEANDIKA JIMBO LA BUNDA; HUU NI MFUKO WA JIMBO SIO WA MBUNGE{{{{{{{{{{
 
Maendelep yatakujaje kama watu wanaleta uvyama hadi kwenye huduma za msingi?

Hayo madawati hawezi kalia mototo wa bulaya pekee au mtoto wa chadema ila ni watz wote....

Pitieni vyeti vyao hawa madiwani
 
ANGEANDIKA JIMBO LA BUNDA; HUU NI MFUKO WA JIMBO SIO WA MBUNGE{{{{{{{{{{
Nimeona majimbo mengine wame mention majina ya wabunge wao na hakuna noma. Kwa Bulaya sijui ni kwa sababu ni mtoto wa kambo ????!!!.
Tunaingiza siasa ktk elimu tutajuta
 
Kuandikwa jina labda atoe Pesa zake za Mfukoni. Kama za Serikali hapana!
Kwani jina lina athiri nini!?
Mbona kwenye miradi mbalimbali inayozinduliwa kwenye mbio za mwenge huandikwa majina yao (m/kiti wa mbio za mwenge) na hatuikatai miradi hiyo!!!!! ?????????
Kwa nini rais wa nchi huweka mwe ya misingi kama utambulisho wa miradi wananchi wa vyama vyote tunaipokea!!!!!! ???????
Tubadilike maendeleo hayana itikadi.
 
Angekuwa ametoa kutoka kwenye hela zake binafsi ingekuwa sawa kuandika jina lake, ila hela za mfuko wa Jimbo sio zake, ni sawa Dr Tulia angeandika jina lake kwenye madawati yaliotengenezwa kwa marejesho ya bajeti ya bunge
 
Back
Top Bottom