Recent content by justine John Mrosso

  1. justine John Mrosso

    JamiiForums Tanzania Tsh 1000 iliyoongezwa kwenye mfuko wa simenti ni ndogo Sana, angalau ifike Ths 5000

    Jamaniii[emoji15][emoji15]
  2. justine John Mrosso

    JamiiForums Tanzania Kwanini unaweka rosali au tasbihi kwenye staring ya Gari

    Imani za watu, hata anayeweka mdoli au bendera ya timu yake nae ana lake achana nao
  3. justine John Mrosso

    JamiiForums Tanzania Nakosa usingizi kwa kuwaza hili jambo, Wazoefu naomba ushauri wenu

    Ukiaminika jiaminishe, je utajisikiaje mkeo nae ukamkuta na mimba ambayo si yako!!?[emoji15]! Vaa viatu vya mkeo mwombe Mungu msamaha na kimbia UFE jipange vizuri la sivyo unaenda kubomoa nyumba yako kwa mikono yako mwenyewe pole sana.
  4. justine John Mrosso

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Mabasi na mafuso hutoa wapi hela?

    Mtoa post, hujui kuwa kuna mabenk tanayotoa mikopa au umelala, kwani unateseka ukiwa wapi [emoji1787][emoji1787]
  5. justine John Mrosso

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu hakipo sawa makanisani, ni muda wa wakristo kuamka na kuhoji

    Wewe kama muumini nini kinakuumiza, wakati zaka na sadaka ni moyo wako
  6. justine John Mrosso

    JamiiForums Tanzania TRA fanyeni kazi yenu kwa ufanisi! Watu hawaombi risiti na wenye maduka hawatoi risiti kikamilifu!

    Wewe ni mtumishi au unafanya biashara!!??
  7. justine John Mrosso

    JamiiForums Tanzania Biashara zipi hazina kodi

    Kilimo na ufugaji no tax
  8. justine John Mrosso

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanywa pombe na walevi

    Henes inaimarisha akili hasa kwenye utafutaji wa pesa ikiwemo HAGARMASTER
  9. justine John Mrosso

    JamiiForums Tanzania Anguko la uchumi Tanzania: Kampuni binafsi zapunguza wafanyakazi kutokana na hasara

    Kibiashara huwezi kufungia pesa utegemee kupata pesa mwendo wa fedha ni kuzunguka. Ukichimbia talanta haiwezi kuongezeka ukija kuifukua waikuta vile vile
  10. justine John Mrosso

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume kusherekea siku ya kuzaliwa ni kosa?

    Jamani kila kunapokucha ni kuishi au kuzalaiwa upya kikubwa ni kumshukuru Mungu kila uamkapo b. Day sio wangapi wanaweza kufanya hivyo
  11. justine John Mrosso

    JamiiForums Tanzania Nimepata milioni 50, nifanyie biashara gani niwe milionea?

    Mradi mzuri na kupiga pesa haraka bongo ni ufugaji wa samaki na kuku kila mwezi unavuna 8m
  12. justine John Mrosso

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hana hisia za kimapenzi

    Pole sana, anahitaji maombi kaka atakuwa na pepo mbaya isipokuwa kama wewe ni mwingi acha pia ni sababu acha
  13. justine John Mrosso

    JamiiForums Tanzania PJ on power breakfast CLOUDS FM

    Pj ni mchambuzi mzuri mno hasa pale anapounganisha stori kwa umahiri mkubwa.
  14. justine John Mrosso

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo linauzwa Mbezi Beach barabara ya white sand jirani na Elite English medium

    Eneo linauzwa mbezi beach barabara ya white sand jirani na shule ya English medium ya Elite eneo lina fance na nyumba ya nyumba vitatu Umeme na maji tayari limepimwa na lina hati ukubwa 4500sq m. Bei ni 450m. Mawasiliano ni 0715276905
Back
Top Bottom