Recent content by Justin isaya

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

    Umesha yakanyaga[emoji16]
  2. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua mshahara wa TGS D Ni sh.ngapi kwa mchumi daraja la II

    Alafu pia kua mtumishi wa serikali Kuna advantage kubwa coz ukiwa mgonjwa Bado utalipwa mshahara hata usipo attend mwezi mzima.ila kwa mfanya biashara mtaji ni nguvu pia ukiugua biashara inalala
  3. J

    JamiiForums Tanzania Jamaa amrekodi mkewe akinywa sumu, mpaka kufariki dunia

    Tupia iyo video tuione
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tamthilia ya Othman ya Azam TV, lengo lenu ni kuudhalilisha Ukristo. Itoeni mara moja

    Sema hujui unaongea nn ngoja tukuache.fatilia nchi nyingi zenye vita za wenyew hua zinaanzaje.sisi tz tumeyashinda hayo kwaiyo vitu vidog tusipuuzie .tunapoona kitu kinaweza hatarisha amani yetu tukemee kwa nguvu zote . Sent using Jamii Forums mobile app
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tamthilia ya Othman ya Azam TV, lengo lenu ni kuudhalilisha Ukristo. Itoeni mara moja

    Hii ni mbaya sana kwa future generations.ni chuki dhid ya wakristo Haina mafundisho ya maana zaid ya udini Sent using Jamii Forums mobile app
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nilivyomkomesha tapeli wa viwanja Kivule Dar es Salaam

    Pole sana kaka wewe ni mmoja.vipi kuhusu wale wasio elewa chochote walivozurumiwa haki zao.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye ndoto ya kujenga ila budget ndogo mje tushauriane!

    Na biashara itakufa? Kikubwa maandish usitoe pesa bila maandish na lazima asign Kila ukilipia kitu chochote
  8. J

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Mimi ni mwalimu nimepatwa na majaribu nashindwa nivuke vipi

    Asee pole kaka. Lakin kwa mtumish nadhani kama ulipata matatizo suala la ruhusa liko wazi. Wewe unaonekana waz kunasehem hukufata utaratibu wa utumishi. Ila pole na kama unakur kosa kubali adhabu. Maan hat ukikata rufaa kama unamakosa ndo utafukuzwa kabisa.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

    Good learning story.sema UMUGHAKA .nipe majina matatu ya Gabi nikamuone pale Ruanda mbeya ni hom sweet
Back
Top Bottom