Katika kitu ambacho siwezi kujutia kamwe ni maisha yangu ya utotoni, kwa hakika niliishi vilivyo kuanzia kucheza mpaka kuzurura
Ni ujana tu ndio nahisi sijautendea haki sababu kila kitu ni hela, ukitaka kwenda resi bila michongo either urudishe namba au uleft group
Mapambano yanaendelea...
Kibongo bongo jau sana, unaweza shangaa mtu anaiubadilikia mbele ta safari. Ubakuta sahihi zile zile za makubaliano anabadili kuwa ulimuzia hivyo kuwa makini sana, au labda kama una Kampuni na Nyaraka zimesajiliwa kwa jina hilo.
Sio kwamba haiwezekani, inawezekana sana ila tatizo Bongo Nyoso...
Namna nzuri ya kujifunza ni kwanza kuwa na bidii (tena sana) Kiingereza ni kigumu na kinataka ukifanyie mazoezi hivyo anza na hiki
Kuna App ambayo unaweza kuinstall kwenye simu nyingi ni free ambazo utajifunza taratibu nashauri English Grammar Test ( Nithra) ipo Playstore
Yenyewe...
Next time jitahidi hata kuficha namba muhimu za taarifa ya huo muamala ili kujilinda, ili next time ukijichanganya usiishie kudakwa kama panzi
Kwani hujui kwa huu muamala tu unaweza kudakwa na ikajulikana unaishi wapi?? Siri sio namba yako ya simu tu, kupitia huu muamala naweza kupata vyote...
Mmmh hapa nina kila sababu ya kujiuliza ikiwa mmoja wa wanaoingiza hela nyingi zaidi kwa Tanzania ameweza kufika kiasi hiko kwa Youtube pekee
Labda kama ameunganisha na platforms nyingine na kupata mapato ya jumla
Ila anyway, chochote kinawezekana kila la heri kwao
Nafikiri itakuwa jambo jema ukisema utarudi kufanya nini, ili tuwe mashahidi kwamba ulisema isipotekelezwa amri/ombi lako utafanya deshi and deshi
Hivi hivi haitakuwa na mashiko maana unaweza kuja na kusema vinginevyo kabisaa
Uaminifu ni kitu cha muhimu sana, inasikitisha pale chombo ambacho unaamini ni salama, kumbe ndio kinatumiwa ndivyo sivyo na wasio na tabia njema.
Binadamu ni watu wa ajabu sana, kwa mtu kama huyo hata kesho na kesho kutwa kaona tu umepanda na bidhaa ya thamani na akakupeleka nyumbani, si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.