Recent content by jussep7

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: Epuka kutumia majina ya ukoo katika kazi

    Ni uzuzu tu. Kama unataka dini nenda nyumba ya ibada au kapigie kwako. Wabudha , wakristo, waislamu, wapagani nk kila mmoja akipiga numb za dini yake si itakuwa tafrani? Inahitaji ustaarabu tu wala sio nguvu nyingi kuelewa hili
  2. J

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni ushauri sahihi au kaingia eneo bovu?

    Don't play this at home
  3. J

    JamiiForums Tanzania Project ya UDART imeshakufa

    Kuna haja management kujitafakari haraka sana. Dhana ya mwendokasi inakufa. Huduma haimvutii mtu mwenye gari yake kuiacha nyumbani atumie usafiri wa UDART. Wajitafakari kwa kweli
  4. J

    JamiiForums Tanzania Historia ya Mtaa wa Aggrey uliopo Jijini Dar es Salaam

    Asante kwa nondo
  5. J

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kuvaa sare za vyama vya siasa msibani haina tija kwa taifa

    Aisee...! Kweli haina tija
  6. J

    JamiiForums Tanzania Pamoja na malalamiko yasiyoisha kuhusu udogo wa mishahara, hakuna Mtumishi yeyote mwenye jeuri ya kuacha kazi

    Sasa bila wafanyakazi kulipwa vizuri wakulima na wafanyabisshara watapatia wapi? Wafanyakazi wakilipwa vizuri watanunua vyakula mkulima afaidike, atanunua bidhaa mfanyabiashara aneemeke, atajenga fundi apate ajira nk. Sasa wafantakazi wasipolipwa vizuri hawa wengine wataneemekaje?
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba mwenye nyumba na kondom zangu

    Hujaeleweka. Wanaongoza kupata msambukizi wakati jamaa analalamika wanamkopa condom hawalipi? Iweke vizuri
  8. J

    JamiiForums Tanzania Meseji (SMS) za dawa za Kiganga: Je, hawa ni matapeli? TCRA mko wapi? Namba wanatoa wapi?

    [emoji13] [emoji13] [emoji13] kwahiyo unashauri matapeli wawe na lugha nzuri?
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Katafute mpya kama hutaki mtumba. Ila miaka 30 jela itakuwa inakutafuta na wewe
  10. J

    JamiiForums Tanzania Serikali kuongeza kodi kwenye vitu vya nje, ni kuboresha bidhaa za ndani au ni kudumaza?

    Hakuna nchi iliyoendelea ambayo hailindi baadhi ya viwanda vyake. Hoja labda iwe ni viwanda gani vilindwe. Huwezi kuachia uholela kila uchafu uingie nchini halafu utegemee kuimarisha viwanda vyako vifikie hatua ta ushindani. Acha wenye uwezo wanunue vya nje ili vya ndani vijitahidi kufikia ubora...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutambua namba ya simu ni ya mtandao upi

    069 Airtel
  12. J

    JamiiForums Tanzania Hivi boss wako anapokutumia friends requests kwenye hizi social networks anakuwa ana maana gani?

    Thamani sio dhamani. Dhamani ndio mdudu gani?
  13. J

    JamiiForums Tanzania Diwani kata ya Magu Mjini atuhumiwa kubaka binti wa umri wa miaka kumi na sita

    Umemjibu vizuri sana. Sitii neno. Mleta mada ni mbumbumby kuhusisha chama na ubaksji. Hana hoja
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuwa mwanachama wa chama cha wafanyakazi?

    Hakuna. Ni mradi wa watu tu. Haisaidii chochote
Back
Top Bottom