Recent content by Jusikafiri

  1. Jusikafiri

    JamiiForums Tanzania Ushauri, mke wangu amenunua kiwanja bila kuniambia

    [emoji25]
  2. Jusikafiri

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ananipa wakati mgumu

    Daah nyie wanawake ni mashetan aise mrejesho ni kwamba baada yakuchimba ili jambo kiundani kwa mbinu zangu za kivita nimekuja kugundua ni kweli mama D ametombwer na jamaa unajiita Hassani kama upo umu mmefanikiwa kuharibu maisha ya mwanangu KATAA NDOA KUMMMMAKE SIO POA AISE INAUMA SANA NDUGU ZANGU
  3. Jusikafiri

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ananipa wakati mgumu

    [emoji1666]
  4. Jusikafiri

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ananipa wakati mgumu

    Itabidi niiangalia iyo ninayo ila nimeangalia kidogo tu mwanzoni
  5. Jusikafiri

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ananipa wakati mgumu

    Nilijikaza nimefupisha tu maelezo ila mwanzo alikua serious hana tabia yakuigiza kulia aliyemshauri aniambie ni utani kanipa wakati mgumu yani hata akipiga sim mwili unaishiwa nguvu
  6. Jusikafiri

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ananipa wakati mgumu

    Bila salamu, Ndugu zangu mimi ni mwenyeji humu ila nimetumia ID hii ili nipate msaada kwa tukio lililotokea hivi siku za karibuni huenda kuna sehemu nafeli kama mwanaume au haya mambo ya maumivu ndugu zangu mna uzoefu nayo. Nina mke wangu ambaye tupo kwenye ndoa takriban miaka mitano sasa na...
  7. Jusikafiri

    JamiiForums Tanzania Yule kijana aliyekuwa na mikate 7 na Samaki 5 kwenye Mkutano wa Yesu alikuwa ni Mmachinga au Mwanaparokia?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. Jusikafiri

    JamiiForums Tanzania Napataje kazi ya Afisa Utendaji Dar es Salaam?

    Okey nashukuru kwa msaada.. ila sijawah hangaikia kiundani ajira ndo naanza rasmi.. sihusiani na uzembe kwenye maisha yangu
  9. Jusikafiri

    JamiiForums Tanzania Napataje kazi ya Afisa Utendaji Dar es Salaam?

    Nahitaji madini kama ayo kwasasa ngoja niingie kweny ajira tu nadhani sikuwa mfatiliaji kiundani ila kwa sasa nahitaji acha nifatilie ukipata update usisite kunitag fursa
  10. Jusikafiri

    JamiiForums Tanzania Napataje kazi ya Afisa Utendaji Dar es Salaam?

    [emoji28][emoji28] naelewa janja janja zipo
  11. Jusikafiri

    JamiiForums Tanzania Napataje kazi ya Afisa Utendaji Dar es Salaam?

    Mtendaji wa kata?
  12. Jusikafiri

    JamiiForums Tanzania Napataje kazi ya Afisa Utendaji Dar es Salaam?

    Salaam, Mimi ni mtanzania msaka tonge kama wasaka tonge wengine nakumbuka mwaka 2016 nilihitimu diploma yangu katika chuo kinachotambuliwa na serikali ya Tanzania, nina vyeti vitatu apa nilipo cha NTA Level 4,5,6 ila najua kwa kazi niliyoikusudia apo ntatumia cheti cha Level 5. Jambo langu...
Back
Top Bottom