Point ya kwanza ni utumbo"pumba"
Hoja ya msingi ambayo haijajibiwa
Tozo ni Kodi juu ya Kodi
Na sababu ya kuipitisha bungeni ni kwamba isadie tuweze kufanya mambo binafsi Kam nchi bila misaada au mikopo..
Sasa Kama Kuna tozo kwa nini tukope mikopo ambayo haizalishi..
Yan unakopa kupambana na...
Uchawi
Title ya thread una uliza magufuli alikuwa anawaza nini?
Kweny content unasema alikuwa anaenda jiongezea muda
Huu ndio uchawi wenyewe unajua mtu mwingine anawaza au fikiri nn??
Maiti haiwezi kukujibu ilikuwa inawaza nn ndugu
Alaf Nan alikwambia utumie cheti feki aisee
Habari kuhusu nchi za Africa hutolewa na cnn ,aljezeera,BBC ,dw &France 24
Hata vyombo vya habari vya nchi ya Africa hutoa habari kuhusu nchi nyingine za Africa kutokana na taarifa kutoka vyombo vya habari nnje ya Africa
Hi inamaana wanaweza kutuaminisha chochote kuhusu nchi za Africa pale...
Alaf kumbe wewe ndo mpumbavu mwenyewe
We jamaa tulibishana sanah kwenye thread kuhusu raia wnyw asili ya kihindi bongoo
Ilah nimefurahi your proud of being in Africa & pia umetambua harakati za panafricanist Robert Mugabe ambaye Ali thubutu kuwakemea nchi za marekani na za magharibi...
Ww jinga sikia siwezi poteza mda kuandika Kama unavyotaka
Nimezaliwa naongea KISWAHILI mpaka form 4 nimesoma KISWAHILI nkafaulu Sina haja ya kuandika kwa ufasaha Kama naandika ishu siliazi kumbe na bishana na watu ambao hata uwezo wao kufikiri na mashaka nao
Pumba zimeisha!! Leo hiii bongo vijana wana struggle kujiendesha kwenye private sector wewe unazungumzia kuteka soko la ajira kwenye organizations Africa
Bro Mimi najuah KISWAHILI tu kisukuma au lugha yoyote sifahamu
Baba angu hajui lugha yoyote zaidi ya KISWAHILI na kiingereza tu
Nikisema lugha mama KISWAHILI usiwashwe
Alaf endelea kuwa na mashaja na elimu yangu utapata ajira
Relax hatuja gombana!!
Naona nikujibu kitu kimoja alaf mengine niayaache ilah nioichokiuna wewe fala mbishi alaf huna point zinazoeleweka
Kenya hakuna uzalendo!! Kenya Kuna ukabila mkubwa, Kenya Kuna gap kubwa mnoo matajiri na maskini!!!
Matajiri wachache wakenya wanafanya uchumi uonekane...
We jamaa Ni fala nimeangalia texts zako mpaka nashindwa kuvumilia!!
Kwanza, hizo post attachment niza 2011 & moja ni ya 2016 na Sasa hivi Ni 2019 utalinganisha vipi wakati Kila kukicha miradi inazinduliwa
Alaf Kuna mshamba huyo amekaa Tanzania miaka 2 alaf usikute kigoma ukoh alaf amekaa Kenya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.