Recent content by Jurist.net

  1. J

    Milipuko yatikisa Zanzibar

    Wacha ujinga ww Zanzibar hakuna udini.. waislam wameishi na wakristo kw miaka mingi sana bila ya kubughudhiwa.. lamcngi tafuteni chanzo cha hayo sio kupalilia chuki.. km hamuwezi kuishi Zanzibar ondokeni nyote musitafute sababu.. paka wee..!
  2. J

    Nyerere alifanya kosa kubwa japo nia yake ilikuwa nzuri!!

    Hatutaki muungano mbona hamtuelewi jamani.. mumetudhulumu vyakutosha saiv basii.. kaeni na Tanganyika yenu na sisi tupumueeee..!
  3. J

    Kuna kitu Rwanda inachokitafuta Tanzania! (Serikali, nchi yetu ni salama kiasi gani?)

    Ngojeni kwnza tuuvunje huu muungano ndo mtafute vita.. Wazanzibari hatutaki vita kabisa.. mupigane peke yenu coz nyinyi mmezoea mizozo.. muliipiga Uganda sasa Rwanda.. kw hio ngojeni tutoke kwanza..!
  4. J

    Nini asili ya jina Tanganyika na Nani alilitunga jina hili?

    Mm nahc maana yake kua ni "Tambara pori" hahahaaaa.. Watanganyika mjue hivyo nyinyi ni watu wa tambara pori.. njoni ZANZIBAR tuwatafutie jina jamanii.. tumekupeni Dar-es-salam zuri tu lkn ni la mji.. njoni tukupeni la nchi sasa msione tabu..!
  5. J

    Ni kiongozi gani wa kisiasa ana hotuba kali za kumbadilisha mtu?

    Makamo wa kwnza wa rais wa Zanzibar, ambae pia ni katibu mkuu wa CUF (Maalim: Seif Sharif Hamad)..!
Back
Top Bottom