Recent content by Jupiter2014

  1. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

    Ndugu njia nyepesi ya kufikisha ujumbe wako ni kwa njia ya barua. Maana hata kama mtu hataki kukusikiliza lakini barua ataisoma hadi mwisho. Weka CV zako zote, Anuani ikiwa ni pa moja na namba za simu na barua pepe. Ila sasa usiogope kupokea simu. Elekeza maombi kwa Mkurugenzi Mkuu wa UWT...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

    Jambo jingine la msingi kabla hujaenda huko muulize mdogo wako kwa nini anaipenda hiyo kazi lakini anawaogopa hao UWT. Swali ls kwanza utakaloulizwa ni kwa nini unaitaka hiyo kazi. Vinginevyo unatakiwa kujua kuwa hiyo ni kazi kama kazi nyingine. Kuna mazuri na mabaya yake. Kuna raha na tabu...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

    Kama wahusika utakaowakuta mlangoni wanaijua kazi yao hawawezi kukukatalia.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

    Kwa kuwa kazi zao huwa hazitangazwi hakuna tatizo kama utakwenda ktk ofisi zao kueleza shida yako. Wapo kwa ajili ya kuwatumikia watanzania. Au, kama unafahamiana na mtu anayefanyia kazi huko ongea naye ili akupe muongozo.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Sitta ameupata ujumbe wa mahakama kuu?

    Yupo sahihi kivipi?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mimi ni muumini wa Serikali 3 sijui mwenzangu ni muumini wa Serikali Ngapi?

    Wanasiasa wamekuwa wakituaminisha kuwa katiba mpya itatatua matatizo yaliyopo. Tuchukue suala la rushwa ambalo ni kero kubwa hapa nchini. Katiba Mpya italiondoa vipi? Huwa najiuliza! Ktk Katiba iliyopo kuna ibara inaruhusu Rushwa? Kama hakuna rushwa inatoka wapi? Katiba mpya itazuia vipi rushwa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mimi ni muumini wa Serikali 3 sijui mwenzangu ni muumini wa Serikali Ngapi?

    Kwa mwananchi wa kawaida muundo wa Muungano haumsaidii kitu.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa Serikali Wakristo huvaa Kiislamu?

    Kwa hili umemaliza mjadala.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Imedhihiri: Tundu Lissu ni Adui Mkubwa wa CHADEMA

    Upo sahihi.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kwa yaliyonikuta

    Pole sana. Kama ambavyo Nyota njema inavyoonekana asbh vivyo hivyo nyota mbaya. Hakufai huyo kaka.
Back
Top Bottom