Recent content by Juniour K

  1. Juniour K

    Tukio la Mlipuko wa Bomu Arusha: Inspector Daudi wa Polisi akamatwa

    yawezekana kabisa hao askari ni wafuasi wa chadema.
  2. Juniour K

    Mbowe atolewa nje ya bunge

    Akili za alikaeli mbowe ni kama za kenge, kukimbia mvua na kuelekea mtoni
  3. Juniour K

    Chuki Binafsi dhidi ya Maalim Seif na CCM Wahafidhina Zanzibar

    huyu jamaa akili yake imekalia wapi,unatuletea mambo ya ................ hapa.
  4. Juniour K

    Baada ya Ikulu kuwa chini ya Wamarekani:Sasa ipo uchi kabisa , sasa ni kuangalia bugs+kubadili mambo

    Bwana mdogo huamini usalama wa nchi ni wa kila mmoja wetu mi naona ni bora ujitokeze mseme ni kipi kimewekwa uchi ili kuisaidia nchi yetu iendeleee kuwa ni nchi yenye ulinzi imara,tatizo lenu humu ndani ya jf mmekaakaa kiiitikadi,badala ya kusaidia nchi mnabishana hata mambo msioyaelewa kwa...
  5. Juniour K

    TAARIFA: Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA - Rasimu ya Katiba, Hali ya Siasa, Uchaguzi

    Naona vikao vya chama chadema vimelenga sana kwenye postmotum yaani yaliyopita,maana yake vinazidi kutaka kutengeneza matata,lakini sio namna ya kuyatatua,pia hiyo ripoti yao inaonesha kama vile wao si wananchi wa Tanzania ni kama vile jeshi la kukodiwa lilokuja kusaidia ukombozi wa...
  6. Juniour K

    Mbowe afanya mazungumzo na maafisa wa Ikulu ya Marekani

    Mzee mwanakijiji naomba unijibu maswali haya matatu 1.je Mbowe alionesha uzalendo kuhudhuria karamu hiyo? 2.je sio usaliti kwa chama chake? 3.je mazugumzo hayo yalikuwa si ya kumnunua?mazugumzo gani yatafanyika ikulu kwa siri na...
  7. Juniour K

    Dkt. Wilbroad Slaa ndio chanzo cha migawanyiko CHADEMA

    Dr, ulishachoka cha msingi ni kutafakari na kuchukua hatua,huenda ziara ya nje imekulewesha unaanza kuweweseka na kuongea vitu ambavyo unaongea kama unatoka usingizini,je ungekuwa unaenda kila siku huko si ungekuwa mchovu wa akili kabisa,pisha vijana rudi ukamtumikie Bwana aliyekuita mwanzo,sasa...
  8. Juniour K

    Mh Sugu bado anafikiri yuko kwenye BongoFleva?

    Hakika nimetambua kuwa Watanzania bado tuna safari ndefu sana,kama mjadala wa Mhe waziri mkuu umekuwa ndio gumzo ndani ya mitandao ya kijamiii,we still think by using little minds,leo mkiulizwa ni watoto wangapi wanakufa kwa kukosa huduma za msingi,ama familia ngapi zinafurugika na kusababisha...
  9. Juniour K

    Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

    jamani naomba mnijibu kati ya tundu lisu na mwigulu nchemba ni nani mfa maji?
  10. Juniour K

    CHADEMA hawaelewi kabisa jukumu la Idara ya Usalama wa Taifa, wanaiweka kapu moja na vyama vya siasa

    Elikaeli Mbowe,Zitto Kabwe,Mabere Nyaucho Marando hawa wote ni usalama wa taifa au ni vibaraka vya usalama iweje leo ndio wawe wa kwanza kuilaumu usalama wa taifa wakati wao ni watumishi wazuri wa serikali iliyopo madarakani na wanalipwa posho zao,ukitaka kulijua hilo waulize kabla ya kupeleka...
  11. Juniour K

    Nani wanamshauri rais TZ? - Lazima tutafakari hili...

    Inaonekana wewe unafaa mzee jitokeze hadharani huenda ukawa mshauri wake mzuri,kwanini ujifiche humu ndani jf na umesema sio siri.
  12. Juniour K

    Live on TBC1: Hotuba ya Rais mwisho wa mwezi Machi 2013

    MHE Rais wa Jamhuri ya muungano ameamua kutoa dukuduku lake ndani ya nafsi yake, kama ilivyo kawaida yake kusoma taarifa ya mwezi kwa wananchi wake wapendwa wa TZ kwa kutumia screen kubwa ambayo huwa iko mbele yake yenye kuonesha hotuba anayoisoma hakufanya hivyo mwezi huu ameamua kutoa...
  13. Juniour K

    Lwakatare atakiwa kuachia ngazi kukinusuru chama na kuchafuka

    Mi naona kamati ya ufundi ya chadema walichelewa kuligundua hilo mapema,tayari wameshachafuka, watamtosa mshikaji familia yake itabaki inateseka mtaani.
  14. Juniour K

    Devid Mranda atimuliwa rasmi TPA

    ameshamaliza kazi aliyotumwa anarudi nyumbani kijanja.:yo:
Back
Top Bottom