Devid Mranda atimuliwa rasmi TPA

Devid Mranda atimuliwa rasmi TPA

hatimaye yule mkuu wa usalama wa mamlaka ya bandari[tpa] aliyesimamishwa kwa ubadhirifu bwana devid mranda leo amekabidhiwa barua rasmi ya kutimuliwa, akikabidhiwa barua hiyo hii katika ukumbi wa mamlaka ya mawasiliano pale ubungo ambapo bodi ya tpa ilikutana kwa kazi hiyo chini ya mwenyekiti wake prof. Msambichaka, bodi hiyo imemkabidhi barua ambayo inamtaka afungashe virago vyake mara moja na kurudi ofisi yake ya zamani [tiss], mranda mara nyingi alikuwa akijigamba yeye ni mtu toka ofisi ya rais na hakuna wa kumgusa.
kila lenye mwanzo lina mwisho wake uwe mbaya au mzuri.
 
atakuwa kama nape, alitimuliwa vijana akapewa Udc sasa katibu mweneza njaa!!kwa akianshonza na mwampamba
 
anyway ndo uwezo wako wa kufikiria ulipoishia. hatuna jinsi ya kukusaidia. pole.

huwezi kuogopa kumtimua mbadhirifu, mharifu, mzembe kwa kuogopa kutoona mabadiliko.Mabadiriko hayawezi kuonekana kwa dakika kwa mchakato wa kuweka wasafi na waxhapa kazi we nye kuleta huo ufanisi unaoutaka
 
Tuki review mfumo mzima wa utendaji kazi na kuziba mianya yote ya ufisadi tutanufaika zaidi ya hapo

waliopo na wanaonufaika binafsi na mifumo mibovu iliyopo hawawezi saidia kubadilisha mifumo mibovu iliyopo. huenda walisaidia kuiweka. au wanailinda. jitihda za kuibadilisha zaweza hujumiwa na hao watu. God bless Tanzania. Ameni.
 
wenzako walishajiuliza na jibu wanalo.umebaki wewe tu
Tuangalie misingi sio watu.Kufukuza watu bila kuangalia mfumo mzima wa utendaji kazi ni aina nyingine ya ujinga.Tujiulize tangu watu wafukuzwe ufanisi umeongezeka kwa kiwango gani?
 
Mwakyembe fukuza hao kenge. kuna wengine wanajiita Interpol bandarini hao ndo wezi wakubwa. Chungulia na huko muheshimiwa. Kuna chaka la wezi huko.
 
Sabato masalia , Mbona unamshambulia sana huyu mzee . Do you have anything personal against him ? kwasababu siyo mara yakwanza wewe kituma habari kuhusu mtu huyu huyu

Huyo Sabato masalia atakuwa ana chuki binafsi na huyo mzee wa bandari. anadhani kuondoka kwake TPA ndio faida kwake; huyo mzee hatakosa kazi ya kufanya tofauti na unavyodhani. shame on you!
 
Huyo Sabato masalia atakuwa ana chuki binafsi na huyo mzee wa bandari. anadhani kuondoka kwake TPA ndio faida kwake; huyo mzee hatakosa kazi ya kufanya tofauti na unavyodhani. shame on you!

Utampa ww hiyo kazi? Mwizi hapati tena kazi. Kama Tiss ndo wako hivyo.basi huko ni chaka la wezi na mafisadi.
 
we unaejiita dogo janja hv ongezeko la mapato kutoka bil25 mpaka bill50 sio ufanis au haufatilii unakula kunya na kulala
 
Utampa ww hiyo kazi? Mwizi hapati tena kazi. Kama Tiss ndo wako hivyo.basi huko ni chaka la wezi na mafisadi.

Amekuibia nini? au unawaza kwa tumbo???? kama unaona ni mwizi peleka ushahidi polisi ili akamatwe na kushtakiwa. shame on you.
 
Kazi kwelikweli, ushabiki wa Kijinga umejaa humu ndani lakini kazi ya Mwakyembe imesimama Arifuuuu!!
 
Back
Top Bottom