Recent content by Junior23

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi NMB Eastern Zone

    nitumie na hapa mkuu. jembesikuyaleo@yahoo.com
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ni software gani inatumika kutengeneza matangazo ya TV

    Msaada wadau ningependa kujua ni software gani inayotumika kutengeneza matanzazo ya TV yenye slides na animation
  3. J

    JamiiForums Tanzania msaada radio zilizopo online

    Ni radio Gani unazotaka?. Nimeupload hapa Pls files za radio sauti ya injili, East Africa Radio, BBC, Wapo Radio na Times fm. Kusikiliza unahitaji kuwa online, then fungua (open with) pls kwa kutumia VLC au Foobar Player, huhitaji kufungua browser yako Download Pls files Here
  4. J

    JamiiForums Tanzania Msaada kukopy picha zilizo pastiwa kwenye microsoft...zimenitoa jasho

    Kama unatumia word 2010 Right click then nenda "Save as Picture"
  5. J

    JamiiForums Tanzania Msaada Namna ya Ku-Customize Chrome Bookmark Bar

    Msaada wadau nataka kubalili rangi za folders kwenye bookmark bar kama inavyoonekena.
  6. J

    JamiiForums Tanzania nasikitika, lakini sikuwa na jinsi

    Kam wewe ulibikiriwa ukiwa na miaka 13 haimaanishi wanawake wote wanabikiriwa wakiwa na umri huo
  7. J

    JamiiForums Tanzania ingekuwa wewe ungefanyaje

    Hakuna anaempenda hapo. wote anawahurumia tu
  8. J

    JamiiForums Tanzania Msaada kudownload window 8

    Shukran mkuu
  9. J

    JamiiForums Tanzania Msaada kudownload window 8

    Wadau naomba msaada wa wapi naweza kudownload window 8 yenye permanent activation
Back
Top Bottom