Recent content by junior major

  1. J

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa kupinga ujio wa Dk Slaa Kigoma Mjini

    Umenena mkuu,
  2. J

    JamiiForums Tanzania TCU 4th ROUND: HIVI NI KWELI KUNA CONNECTION YOYOTE KATI YA TCU,BODI NA CHUO?

    inaelekea shule ulikua kiraza sana, mada imebeba kitu cha msingi kabisa ila ww na akili yako mbaya unataka kuipotosha.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wadau kuhusu open unv of tz

    sawa ndugu, ila hujanijibu bado.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wadau kuhusu open unv of tz

    wazaz wako wanasoma chuo gani?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wadau kuhusu open unv of tz

    Kuna yeyote aliepata kwa wale walioomba open kuanzia mwezi october kupitia center zao,( undergraduate)
  6. J

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    NATAFUTA MWALIM WA KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI, AWE NI KUTOKA TANGA, WILAYA ZIFUATAZO; MUHEZA, TANGA MJIN/VJJN, PANGANI NA LUSHOTO. YEYE AJE GEITA BUKOMBE. kwa aliyetayari tuwasiliane kupitia PM.
  7. J

    JamiiForums Tanzania hiki ni kiingereza?

    English grammar sometimes is complicated. Of course, all languages! Do, does, doing, did, done are the verbs in different forms. Does is used for 3rd person singular. Ex. She does not like cold food. Note: "I" is first person, "YOU" is second, "HE","SHE" or "IT" are third person. DOES is...
  8. J

    JamiiForums Tanzania hiki ni kiingereza?

    English grammar sometimes is complicated. Of course, all languages! Do, does, doing, did, done are the verbs in different forms. Does is used for 3rd person singular. Ex. She does not like cold food. Note: "I" is first person, "YOU" is second, "HE","SHE" or "IT" are third person. DOES is...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wahenga ni akina nani hawa?

    Hahahaha, hatari ndugu WAHENGA NI WAZEE WA KALE "MABABU"
  10. J

    JamiiForums Tanzania Wafungwa wa hukumu ya kifo wagoma kula

    kwa mtazamo wangu, kama hukumu ya kunyongwa ni harali kwao, basi hawatakiwi kulalamika kwan hao ni wauaji. hv kwa mfano wale waliomjeruhi Dr MVUNGI na kusababisha apoteze MAISHA kuna haja ya kuwaonea huruma, eti wale vizuri ili iweje na kwa manufaa ya nani? R.I.P DR Mvungi...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Wale wataalamu wa law pleees i need help!

    jibu swali, usilete makuzi
  12. J

    JamiiForums Tanzania Msaada please

    kumuona mwanasheria ni jambo la msingi na ni lalazima, lakin kwa nini usianzie kwa walio kuuzia hilo eneo? na kwa kipindi hicho chote cha miaka 3 uliyouziwa huyo bwana yeye alikua wapi na hizo hati zake?
  13. J

    JamiiForums Tanzania Msaada ndugu zangu heslb

    taarifa rasmi ya bodi; tatizo wanasema ni system ya network ktk ofisi zao hivyo wataalamu wao wanashughulikia kuanzia sasa, mwanzoni hawakuwa na taarifa juu ya hilo tatizo.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mansoor hatokwenda mahakamani kutetea nafasi yake

    Wazanzibar kazen buti, ccm isiwachanganye
Back
Top Bottom