Recent content by Junior Ayo

  1. Junior Ayo

    Ma-IT wa NECTA mjitathmini

    Hapo shida ni requests zinaweza kuwa nyingi kuliko uwezo wa server. Wanatakiwa watumie distributed database na mutiple access ya site kwa kutumia prox .
  2. Junior Ayo

    Meseji (SMS) za dawa za Kiganga: Je, hawa ni matapeli? TCRA mko wapi? Namba wanatoa wapi?

    Aseee sii halotel tuu mitandao ya simu imekuwa hovyo sana hawa access control sasa hata mimi nilitumiwa message kama hizo japo mimi natumia voda. Kila nikijaribu kupiga zile namba naambiwa haipo nikaeapigia voda wakasema hawaelewi hta wao nikawauliza imekuwaje network yao ikapokeao message...
  3. Junior Ayo

    Mzozo wa Marekani na Korea ya Kaskazini si kitu cha mzaha

    Mzozo wa N.Korea na Marekani unaonekana na kama ni kitu cha kawaida sana na kuna baadhi ya watu wanashabikia kama mpira wa miguu Man U na Chelsea lakini sivyo. Mzozo huu ambao sababu yake kubwa ni umilika na vitisho vya Korea ya kaskazini sasa umepamba moto. Kwani Korea ya kaskazini imesema...
  4. Junior Ayo

    North Korea inatumia 'QUANTUM CODE OF COMMUNICATION' wana FIZIKIA na IT dadavueni zaidi.

    Hii ni hesabu ya Aljebra ngumu sana ni kama probability na inadeal sana na vipimo, Ni ngumu sana nahisi maprofessor ndo wanaweza kuifafanua kidogo ila kama untaka kuisoma wewe pitia hapa -->>Quantum Communication, Computing, and Measurement
  5. Junior Ayo

    Naamini atakachofanywa North Korea na Marekani kitakuwa ni Funzo ulimwenguni

    Hahah I have to laugh on this post for sure, We should not be afraid but what next after the war, Its true the winner will be respected and the loser will respect the winner but sure I tell you the consequence of the war wont be something good. They should just resolve the dispute peaceful and...
  6. Junior Ayo

    Naamini atakachofanywa North Korea na Marekani kitakuwa ni Funzo ulimwenguni

    Ulichokisema ni kweli, Teknolojia ya N Korea ni ndogo sana mbele ya Taifa kubwa kama Marekani, ila shida inakuja sehemu Moja tuu Kim wa N Korea anakiburi kikuu sana na cha ajabu haogopi, sasa Marekani anawaza kama akiishambulia N Korea je kutakuwa na madhara gani, ukiangalia kwa haraka haraka...
Back
Top Bottom