Sokoro waito
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 2,201
- 2,598
Wataalamu wa FIZIKIA na IT tupeni maelezo juu ya hii quantum technology. Source: www.nknews.org
Hii ni hesabu ya Aljebra ngumu sana ni kama probability na inadeal sana na vipimo, Ni ngumu sana nahisi maprofessor ndo wanaweza kuifafanua kidogo ila kama untaka kuisoma wewe pitia hapa -->>Quantum Communication, Computing, and MeasurementWataalamu wa FIZIKIA na IT tupeni maelezo juu ya hii quantum technology. Source: www.nknews.org
Nimerudia kusoma mara tatu ila nimeelewa conclusion tu!Ili tuweze kupata taarifa yoyote kwa kutumia kompyuta basi lazima yafanyike mambo 2.
1.CODING
2.DECODING
Kwa mfano wewe unaimba na ukarekodi sauti na kuingiza kwenye kompyuta, kompyuta inafanya CODING ili kubadilisha sauti hiyo kuja kwenye lugha ambayo kompyuta inaweza kuielewa.lugha ambayo kompyuta huelewa ni lugha ya namba na namba ambazo hutumika ni 0 na 1.
Hivyo basi CODING ni kitendo cha kubadilisha lugha ya kawaida kwenda kwenye lugha ya kompyuta.
DECODING ni kitendo cha kubadilishia lugha ya kompyuta kuja kwenye lugha ya kawaida ambayo mimi na wewe tunaielewa au naweza kusema ni kinyume cha CODING.
Sasa kompyuta nyingi zilizopo hutumia mfuml wa huo wa CODING NA DECODING ili kupokea na kutafsiri taarifa.
Sasa katika kufanya ivyo kompyuta hizo hutumia namba mbili tu ambazo ni 0 na 1 na kila namba moja huwa na maana moja tu.
Katika QUANTUM CODE , kompyuta hufanya CODING NA DECODING kama kawaida tena kwa kutumia namba zile zile 1 na 0 ila utofauti huwa ni kwamba KATIKA MFUMO HUU KILA NAMBA HUBEBA MAANA MBILI KWA MPIGO TOFAUTI NA ULE MFUMO AMBAO KILA NAMBA HUBEBA MAANA MOJA.
Mfano mzuri ni kwenda maktaba na kusoma vitabu vyote kwa wakati mmoja na kwenda maktaba na kusoma vitabu vyote kwa awamu, yani unamaliza kimoja baada ya kingine.
Mfano mwingine ni kama kuwa na uwezo wa kuona pande mbili za shilingi kwa wakati mmoja dhidi ya kuona pande hizo kwa nyakati tofauti.
Hivyo basi mfumo huo wa QUANTUM CODE kwa sasa ndio bora zaidi kuliko mfumo wa zamani kwani huwezesha kompyuta kukusanya data NYINGI kwa wakati mmoja na huwa mgumu kufanyiwa udukuzi.
Mkuu nmekuelewa sana.Ili tuweze kupata taarifa yoyote kwa kutumia kompyuta basi lazima yafanyike mambo 2.

Si mmwambie trump Ajaribu.Huyo Kim na wajinga wenzie wanaomjaza kiburi watachapwa kichapo cha mbwa mwizi; hatokaa asikike au aonekane tena forever and ever. Badala ya kuchagua amani yeye kaamua kuchagua shari. Ile showoff ya mavifaa ya kijeshi in public ni ujinga zaidi ya akili. Wenye akili zao hawafanyagi vile. Hata hapa Serikali yapaswa kuacha maonesho ya zana kijeshi maana tunaonekana kituko tu mbele ya jamii. By the way, vijinchi vya kikomunisti/kijamaa huwa vina hulka za aina hiyo sana.
Pole mkuu.Nimerudia kusoma mara tatu ila nimeelewa conclusion tu!
Kumuua panya kwenyewe kunahitaji timing kali. Anachofanya Trump na timu yake ni kuandaa mazingira ya kuepusha madhara kwa wananchi wa kawaida "kadiri inavyowezekana". Kwamba kiduku atatandikwa sio suala la mjadala tena; inasubiriwa signature ya mzee tu vijana wafanye mambo.Si mmwambie trump Ajaribu.
Huyo Kim na wajinga wenzie wanaomjaza kiburi watachapwa kichapo cha mbwa mwizi; hatokaa asikike au aonekane tena forever and ever. Badala ya kuchagua amani yeye kaamua kuchagua shari. Ile showoff ya mavifaa ya kijeshi in public ni ujinga zaidi ya akili. Wenye akili zao hawafanyagi vile. Hata hapa Serikali yapaswa kuacha maonesho ya zana kijeshi maana tunaonekana kituko tu mbele ya jamii. By the way, vijinchi vya kikomunisti/kijamaa huwa vina hulka za aina hiyo sana.
Ameonyawa gotta behave - message loud and clear .Huyo Kim na wajinga wenzie wanaomjaza kiburi watachapwa kichapo cha mbwa mwizi; hatokaa asikike au aonekane tena forever and ever. Badala ya kuchagua amani yeye kaamua kuchagua shari. Ile showoff ya mavifaa ya kijeshi in public ni ujinga zaidi ya akili. Wenye akili zao hawafanyagi vile. Hata hapa Serikali yapaswa kuacha maonesho ya zana kijeshi maana tunaonekana kituko tu mbele ya jamii. By the way, vijinchi vya kikomunisti/kijamaa huwa vina hulka za aina hiyo sana.
Acha uongo.marekani anaogopa jamaa ataipiga nchi ya marekani kwa Bomu la kuisambaratisha kabisa.mapank haogopi.jaribuni muone.kila siku maneno.Kumuua panya kwenyewe kunahitaji timing kali. Anachofanya Trump na timu yake ni kuandaa mazingira ya kuepusha madhara kwa wananchi wa kawaida "kadiri inavyowezekana". Kwamba kiduku atatandikwa sio suala la mjadala tena; inasubiriwa signature ya mzee tu vijana wafanye mambo.
Ungejua ujinga anaoufanya pale Korea Peninsula since 1950's usingeongea hayo. Ungejua Marekani na washirika wengine wameingia gharama kiasi gani kuhakikisha usalama wa eneo lile kwa miongo mingi simply kwa sababu ya mjeuri mmoja ungefikiria mara mbili mbili kabla kuandika ulichoandika. Imetosha, huyo mjinga aondolewe once and forever, eneo lile liwe na amani ya kudumu.Amechagua shari Kivipi?, we uoni Wamarekani ndio wamechagua shari kutaka kumvamia mtu nyumbani kwake?
***Kumuua panya kwenyewe kunahitaji timing kali. Anachofanya Trump na timu yake ni kuandaa mazingira ya kuepusha madhara kwa wananchi wa kawaida "kadiri inavyowezekana". Kwamba kiduku atatandikwa sio suala la mjadala tena; inasubiriwa signature ya mzee tu vijana wafanye mambo.
hehehehehe we jamaa unachekesha kweli.. Kwani hayo maonyesho anayafanya korea pekee?Huyo Kim na wajinga wenzie wanaomjaza kiburi watachapwa kichapo cha mbwa mwizi; hatokaa asikike au aonekane tena forever and ever. Badala ya kuchagua amani yeye kaamua kuchagua shari. Ile showoff ya mavifaa ya kijeshi in public ni ujinga zaidi ya akili. Wenye akili zao hawafanyagi vile. Hata hapa Serikali yapaswa kuacha maonesho ya zana kijeshi maana tunaonekana kituko tu mbele ya jamii. By the way, vijinchi vya kikomunisti/kijamaa huwa vina hulka za aina hiyo sana.