Recent content by JUMONG

  1. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa tumekusikia na ushauri wako tutausimamia siku zote kama CHADEMA asilia

    Chadema (Ukawa) mtaendelea kuwadanganya watanzania wasiojitambua lakini sisi tunaofikiri vizuri hamtupi shida.Haiwezekani mtu mliyekuwa mnamuita fisadi leo anaonekana eti ndiye atakayeleta mabadiliko.Watanzania wenye akili zetu timamu hatudanganyiki.Uchaguzi wa uraisi ni Baina ya CCM A orijinal...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa urais kwa mwaka huu ushindani mkubwa ni kati ya CCM A (Original CCM) na CCM B (CHADEMA)

    Huu ni mtazamo wangu na nina haki kikatiba: Ushindani mkubwa uko baina ya DR. POMBE MAGUFULI na MH. EDWARD LOWASA. DR. Magufuli alipata nafasi ya kuiwakilisha CCM kwa kuibuka kidedea.Edward Lowasa baada ya kuona mambo hayajaenda kama alivyotarajia akaamua kuhamia Chadema.Wote wawili wamekua...
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyumba ndogo husaidia nyumba kubwa kuishi muda mrefu

    Habari kwenu, Nyumba kubwa nyingi baada ya ndoa hujisahau, wanaume wengi ili kupunguza fujo katika ndoa huamua kutafuta nyumba ndogo ili mambo yaende.Hebu fikiria baadhi ya viroja vya nyumba kubwa kama kumnyima mume unyumba hupelekea mume kutafuta nyumba ndogo ili mambo yaende.Kuna wanawake...
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wengi wa wanaume wenzangu, tunachuma sana zambi hii

    Tatizo ni kwamba uchumba unakuwa ni wa ngono na kama unavyojua mkikaa muda mrefu huku mnaendelea kuchezeana mnachokana.Uchumba usizidi miaka 2.
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke anaeolewa akiwa bikira ana mapenzi ya dhati kwa mumewe kuliko

    mwallu Binti ukiamua isitolewe haitolewi.Wenye viherehere ndiyo bikira zao zinatolewe ovyo lakini mabinti wasikivu wanatunza bikira zao na ni zawadi kwa waume zao.Mwanaume yoyote mwenye akili timamu tena mwenye hofu ya Mungu akioa mwanamke akamkuta ni bikira basi atampenda kwa dhati na wazazi...
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke anaeolewa akiwa bikira ana mapenzi ya dhati kwa mumewe kuliko

    Hebu jiulize kwanini ndoa za zamani zilikuwa zinadumu?Ni kwa sababu wengi walikuwa wanaolewa wakiwa bikira.
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke anaeolewa akiwa bikira ana mapenzi ya dhati kwa mumewe kuliko

    Habari kwenu 1. Mwanamke anaeolewa akiwa hajaguswa na mwanaume hata kama akipewa critoris orgasm anaridhika na atampenda mumewe.Wakati screpa unakuta ametembea na ndume nyingi ukimpa critoris wakati yeye alishazoea G-spot, squarting, katerero hawezi kukupenda kwa dhati au kukuelewa infact...
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kicheche huolewa na mwanaume mtulivu...

    Mwanamke kicheche huolewa na mwanaume mtulivu na mwanaume kicheche huoa mwanamke mtulivu. Ndoa nyingi ndivyo zilivyo na ndiyo maana wanandoa wanaongoza kwa maambukizi ya HIV. Kama una mfano tofauti njoo na pointi.
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kati ya wanaume wa kiislamu na wa kikristo wapi wanaongoza kwa kuwa na nyumba ndogo?

    Naomba dada zetu mlioolewa na watu hawa mtusaidie. Zingatieni: Waislamu wanaruhusiwa kuoa wanawake hadi wanne.Imani yao imesema hivyo na ninaiheshimu. : Wakristo wanaruhusiwa kuwa na mke mmoja ndiyo imani yao inavyosema hivyo na ninaiheshimu. Nyumba ndogo ni mahusiano yanayoibuka...
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alinitoa uanawali wangu

    Eti huyo nae ni mke wa mtu halafu tunasema Tanzania bila ukimwi inawezekana!Mke kama huyu ni janga ktk ndoa.
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kati ya mke na mme nani ni mdanganyifu ktk mapenzi ya uchumba na ndoa?

    Ulichokiandika kweli kimetoka kwa Great thinker!Yes unaweza ukawa na jibu kichwani mwako kumbe likawa si sahihi au mchango wako huwenda ukamsaidia na mwingine.Hauko sahihi kwa ulichokiandika unless una lako jambo.
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini ndoa za mabosi wengi wa kike zina migogoro na pia hazidumu?

    Wanawake mabosi walio wengi wamekimbiwa na waume zao na kuwaachia kila kitu, na wengine hawajaolewa kabisa na kama wakiolewa basi wao wanakuwa wameoa, Ndoa zao nyingi zinakuwa na migogoro sana. Hata wale ambao hawajaolewa baadhi ya wanaume wanawaogopa, Siyo wote kwani kuna wengine wanamudu...
  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaweza kustaajabu kama mimi!!Ndoa zinazidi kupoteza maana!!

    Kutoka nje ya ndoa ni kosa kubwa kabisa.Lakini na nyinyi dada zangu hata kama mmezaa hebu wekeni basi na ratiba ya mume pia maana wengi wenu siku hizi mnazaa watoto wawili wamezidi sana watatu kama ingekuwa kama mama zetu waliokuwa wanazaa kumi si ndiyo mngedai hata kuogeshwa!Ebo hebu badilikeni...
  14. J

    JamiiForums Tanzania NBAA tunaomba mtuwekee Examiners' Report ya May, 2013 siyo May, 2012 kwenye website yenu.

    Nyinyi ni sekta muhimu kwa uchumi wa taifa hili hivyo msikubali vitu vidogo vidogo vikaondoa sifa yenu kabisa kitaaluma.Tunaomba mtuwekee Examiners' Report ya May, 2013 kwenye matokeo ya May, 2013 badala ya Examiners' Report ya May, 2012 kwenye matokeo ya May, 2013.
  15. J

    JamiiForums Tanzania NBAA tunaomba mtuwekee Examiners' Report ya May, 2013 siyo May, 2012 kwenye website yenu.

    NBAA Nyinyi ni sekta muhimu sana katika nchi hivyo mnatakiwa kuwa mfano wa kuigwa ktk jamii.Tunaomba muweke Exeminers' Report sahihi ili kuondoa aibu iliyojitokeza.Sekta ya wasomi inafaa kuendeshwa kisomi zaidi.
Back
Top Bottom