Recent content by jumasaiga

  1. J

    JamiiForums Tanzania DAR: Polisi inamshikilia hawara wa mfanyakazi wa ndani akihusishwa na mauaji ya Aneth Msuya

    Mm naona maafande wanawachelewesha sana siwanikoditu hata mm nije kumpa Huyo hawala wa mfanyakazi kibano cha kikurya mpaka atowe ukweli wote anaoujuwa
  2. J

    JamiiForums Tanzania DAR: Polisi inamshikilia hawara wa mfanyakazi wa ndani akihusishwa na mauaji ya Aneth Msuya

    Siomilioni 5 wala laki5 watu wanauwa hata kwa laki1 au elfu50 nyie mnashangaa
  3. J

    JamiiForums Tanzania DAR: Polisi inamshikilia hawara wa mfanyakazi wa ndani akihusishwa na mauaji ya Aneth Msuya

    Yani binadamu tunaloho mbaya kichizi hata wanyama hawako hivyo loo
  4. J

    JamiiForums Tanzania DAR: Polisi inamshikilia hawara wa mfanyakazi wa ndani akihusishwa na mauaji ya Aneth Msuya

    Hawala apewe kibano aseme mpenzi wake alipo ili ahojiwe kutiwa wauwaji walipo
  5. J

    JamiiForums Tanzania Rais wetu Dkt Magufuli ni mkombozi wa wanyonge, shujaa mpya katika bara la Afrika

    Siku zote chakuvunda hakina ubani Ww kubalitu magufuli ndo kila kitu
  6. J

    JamiiForums Tanzania Rais wetu Dkt Magufuli ni mkombozi wa wanyonge, shujaa mpya katika bara la Afrika

    Magufuli ndo Mme wa maraisi wote waliowahi kuiongoza Tanzania ukimuacha nyerere
  7. J

    JamiiForums Tanzania Madhara yatokanayo na ulaji chips

    Chakula ni ugali wa mtama na kichuli muraaa hakuna kingine kwangu chips za kinadada mm mbeba mizigo chips wapi na wapi?!
  8. J

    JamiiForums Tanzania MWANZA: Jambazi auawa katika majibizano ya risasi na polisi

    Yani sikuizi jamani mwanza kila siku majambaz mala wamekamatwa bugalika mala wamechinja watu msikitini mala Fulani kavamiwa na kubakwa sijuwi tutaishije sasa
  9. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mafuta ya kufanya uwe soft

    Huyo alotoa dawa ya shahawa nahisi kakosea dawa ni kutafuna mavi yaliyo lala mda wa wiki mbili ila mavi yenyewe yawe malain kidogo kisha akinawa USO anawe mkojo wa jilani yako Kwisha matatizo
Back
Top Bottom