Recent content by jumamasy

  1. J

    CCM, elimu bure iko wapi?

    Mmmmmm elimu bure iko mkoa gani? Mbona Mza ndo michango imepamba moto? Nimepeleka mtoto kuanza f1,lim paper 12,000,dawati 60,000, cement mifuko 5x23000=115,000, sweta lazima 15,000 tia lazima 5000, chakula 25,000 kwa mwezi,twisheni 10,000 bad o maintain ya lazima kama daftari,sketi,sheti na viatu.
  2. J

    Baada ya Mwl. Mussa Iddy kulalamika, HESLB yatoa ufafanuzi kuhusu utaratibu wa urejeshaji mikopo

    Mtasema mengi na nyaraka nyingi mno na vifungu VIngI Ila kweli Bodi hii ni tatizo, watumishi wengi wanalia.
  3. J

    Siku 60 baada ya Uchaguzi: Ni wabunge wachache waliofanya cha maana jimboni, wengi wapo Dar

    No wanafanya bwana, Mf Kanyasu alimtetea Yule mkurugenzi fisadi
  4. J

    Spika Ndugai hana mamlaka ya kupinga maamuzi halali yaliyofanywa na Kamati kuu ya CHADEMA

    Tatizo la ndugai,kwa sababu ya nafasi aliyopo anadhani kuwa yeye pekee yake ndo msomi saaaana hapa Tz.anadhani yeye ndo kila kitu. Kauli na msimamo ya ndugai uko sawa kama nchi hii hatuzingatii utawala wa kikatiba,Lenakini kama tuna katiba kama nchi huru ,ndugai you are wrong.
  5. J

    Bwana Ndugai anahitaji msaada wa haraka wa saikolojia

    Wasomi wengine kama ndugai,bwana ni hasara tupuuuuuuu.
  6. J

    Naomba kujibiwa maswali haya kuhusiana na CHADEMA

    Kafulila ashaachika
  7. J

    GE2020 Sisi Watanzania tunakushukuru sana Tundu Lissu kwa kampeni zako za kiwango cha juu, Tunakutakia kila la heri, Mungu aendelee kukulinda

    WeWe umekuwa kisemeo cha WATANZANIA wanyonge waliofanywa Mabubu ktk nchi Yao.Hakika mchango wako ni MKUBWA.Mungu alikuweka hai kwa ajili y etu .Mwanademokrasia nguli mtetezi wa kweli wa wanyonge.Tanzania need you TAL.
  8. J

    Viti Maalum, CCM - Orodha ya watu 94

    Haha ni kwa Kazi gani wanaenda kufanya? Nchi hii bwana,kwenda kulala tu na kupiga meza,na kusema ndiyoooooooooo,si wangechukua tu hata maskini 100 wakawalipa laki mbilimbilI kwa mwezi.? Half wengine waambiwa Anita hakuna,mara nyongeza za mishahara hakuna.
  9. J

    GE2020 Dkt. Magufuli: Mkinichagua nitaongeza mshahara wafanyakazi

    Heeeeeeeeee magu kabisaaaaa!!! Hatujasahau ahadi za nyuma!
  10. J

    Hili ndio Baraza la Mawaziri wa Tundu Lissu litakavyokuwa

    Mbowe hawezi kuwa waziri mkuu,najua misimamo ya TAL ni mtu anayesimamia usawa na haki.Mbona kuna wasomi wengi tu wenye elimu kubwa ,uwezo na wenye upeo wa kutosha.Tatizo ccm wanafikiri wasomi wote waliopo nchi hii ni mali yao,Tena wanajidanganya kabisa kuwa wako upande wao wote.90% ya wasomi wa...
  11. J

    GE2020 Patrobas Katambi amtaka Salome Makamba kuwaomba radhi wanawake kwa uzushi aliosambaza juu yake

    Katambi hajui thamani ya mke, asubiri aoe Kwanzaa ndo tutampa kura.Kwa sasa Lisu na Salome ndo habari ya hapa mjini
  12. J

    Mafanikio ya Utawala wa Jakaya Kikwete ndani ya Miaka 10

    Hi i ni Alama ya uongozi bora
  13. J

    GE2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

    KinachotafutwaE="Mwl.RCT, post: 36879186, member: 158670"] Kinachotafutwa kwa sasa ni mikakati ya kumpeleka jpm ikulu kwa ubabe.mwogopeni Mungu.Tunataka amani.
  14. J

    Mfano tumechukua Nchi Tuanze na nani kumfukuza kwenye taasisi kubwa?

    Polepole aachie nafasi ya Nape na,Kinana arudi kwenye nafasi yake.
Back
Top Bottom