Recent content by jumaa2

  1. J

    Kwanini watu wa Dar huwa hawataki kujua yanayoendelea mikoani?

    Kwanini watu wa Dar, huwa hawataki kujua yanayoendelea mikoani? Lakini wa mikoani kila wakati wanafatilia ya Dar tu. Maadimin wa JF Wapo Dar, ITV, Wasafi, TBC n.k zipo Dar Melo yupo Dar, Vyuo vikuu Bora vipo Dar Flying over za maana zipo Dar Uswahilini kupo Dar Pesa ipo Dar, umaskini upo Dar
  2. J

    Mahakama Yakubali Ombi la Mhasibu Kupinga Uamzi wa Rais Samia Kufukuzwa Kazi

    Hata SAMIA hajui Kama amefukuza mtu kazi
  3. J

    Vigogo na Watoto wa Vigogo wana mitaji lakini mbona hawajiajiri?

    Yani ,unavyoandika utafikiri fundi, kumbe uli sup MTH 106 STATISTICS MPAKA THIRD ATTEMPT
  4. J

    Wadau waulizia alipo Mwana CCM Thadei Ole Mushi

    Ni afisa Elimu wilaya ya hai
  5. J

    Mama Pretty nimezama penzini

    Mtego, hakuna atakaetegua zaidi yangu
  6. J

    Ajira portal ina bagua baadhi ya profession

    Assume wewe Ni form 6 tunakukuta unafanya mtihani wa form one, si uonevu huo? Hivyo HIVYO kumchukua form 1 afabye paper ya form 6 Ni manyanyaso. Hayo Think big
  7. J

    Ajira portal ina bagua baadhi ya profession

    Tanmbuna Kuna kitu kinaitwa overqualification na underqualifition
  8. J

    Hivi hatuwezi kuwa na Rais msabato

    Unataka afute KITIMOTO?
  9. J

    Basi la kampuni ya Superfeo express lapata ajali, leo Oktoba 7, 2023

    Majeruhi poleni ,wafiwa Mungu awape uvumilivu
  10. J

    Kutakiwa kulipa ada ya kidato cha tano

    Mimi nakujibu Kama mwalimu wa jangwani Tena mtaaluma. Usiponielewa Mimi mwigulu atakuelewesha
  11. J

    Kutakiwa kulipa ada ya kidato cha tano

    Basi mfate Mwigulu akulipie
  12. J

    Kutakiwa kulipa ada ya kidato cha tano

    Ada imefutwa 2022 June, mwanao hakiwa form 5, hivyo anatakiwa kulipa ada acha visingiZio
Back
Top Bottom