Recent content by Juma2010

  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeota mpenzi wangu amevishwa pete ya uchumba

    Ahsante sana mkuu
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeota mpenzi wangu amevishwa pete ya uchumba

    Una maana gani mkuu
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeota mpenzi wangu amevishwa pete ya uchumba

    Una maana gani
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeota mpenzi wangu amevishwa pete ya uchumba

    Duuuh. Sikuwahi kujua kama kuna binadamu anaweza kutoa laana. Sala yako ikashindwe kwa Jina la Yesu ♥️
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeota mpenzi wangu amevishwa pete ya uchumba

    Wadau. Nimeota demu wangu amevishwa pete ya uchumba na jamaa askari polisi na kwamba yeye ndiye alimtoa bikra. Kwamba demu anampenda sana mshikaji. Mtu mmoja akahoji mbona anaavaa pete ya uchumba muda wote? Anamlingishia nani? Nikacheka. Halafu ni kweli demu ana pete kidole cha kati...
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ameniambia Yuko single

    Bro nashukuru sana. Sijamtafuta siku 1 naye amepiga kimya. Baada ya siku 3 nitafuta namba yake maisha yaendelee. Dunia hii tusikubali dharau
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ameniambia Yuko single

    Duuuh
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ameniambia Yuko single

    Sad 😢
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ameniambia Yuko single

    Asante sana wadau kwa ushauri
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ameniambia Yuko single

    Hili nalo ni gumu. Kuamini kwa hawa viumbe ni ngumu sana
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ameniambia Yuko single

    Hapendi zawadi yoyote yaani. Anasema anahudumiwa na wazazi wake. Daaaah. Ngoja niachane nae
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ameniambia Yuko single

    Hii kauli inatafakarisha sana
  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ameniambia Yuko single

    Wadau salaam, Demu wangu niliyekaa nae kwa mwaka mmoja hivi nilimuuliza baada ya kuona anaweza kukaa online bila kunitafuta mpaka mimi nimtafute. Nilimuuliza kama ana mwanaume mwingine? Alinijibu hapana nipo single. Amekuwa akibadilika badilika. Leo akiamka vizuri atakuita mpenzi. Keshokutwa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili TRA 2025

    Hii mitihani ilivuja
  15. J

    JamiiForums Tanzania Upembuzi kuhusu utofauti wa kozi za Computer Engineering, Computer Science na Information Technology / Systems kwa kuzingatia mazingira ya TZ

    Kwangu binafsi nimesoma Computer Engineering na sioni tofauti yake na Telecom Engineering zaidi ya mtu wa Telecom kuwa sharo kuliko wa CE. Kwa ufupi CE anajua issue nyingi za Telecom kuliko Telecom mwenyewe
Back
Top Bottom