Recent content by Juma kigwangala

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini miji ya Mecca na Medina inalindwa na Marekani kufuatia vitisho vya Yemen na Iran?

    Mbona hueleweki kisungura kimekukamata ao
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini miji ya Mecca na Medina inalindwa na Marekani kufuatia vitisho vya Yemen na Iran?

    Mbona kajopambanua vizuri tu kwenye aya hizi na ziko nyingi Na Mola wenu akasema "Niombeni nitakujibuni". Kwa hakika wale wajivunao kufanya ibada yangu bila shaka wataingia Jahannam, wadhalilike". (Sueat Al - Muumin - Ghafir- 60). Na akasema:- "Na waja wangu watakapokuuliza hakika yangu...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Biden atishia kuweka vikwazo kwa Uganda baada ya kupitisha sheria ya kupinga ushoga

    Kwani huko Marekani wananchi wao wote matajiri? Huo umaskini ni ugonjwa mpaka lipatikane suruhisho kwa wote?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya Marekani kuivamia Urusi sasa yatimia

    Unadhani Russia ni Zimbambwe? Hahahahaaaaaaa unaota mchana kweupe
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda mwanaume mwenzenu: Nilioa Single Mother yalioyonikuta ni haya. Nilichukua uamuzi huu.

    Siku zote ukitaka kwenda kuoa sehemu mchunguze mama mkwe ana nguvu hapo kwenye nyumba? Akiwa yeye mwamuzi hapo umejitafutia balaa kwa mikono yako,,,! Hapo uliteswa na mama mkwe mwenye Tamaa asiye na Akili jambo jingine umepigwa bakora kuto msikiliza mama yako mzazi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mama hamtaki Mpenzi wangu

  7. J

    JamiiForums Tanzania Mama hamtaki Mpenzi wangu

    Hapo ndiyo walipotufikisha mama zetu wa zama hizi, KUWA MAKINI USHAFIKISHA MIAKA 28 HAPO JUA LISHAANZA KUZAMA UKICHEZA ZAIDI YA HAPO JIANDAE KUWA SINGO MAMA,,, KAMA ANATAKA MWENYE PESA YEYE BABA YAKO ALIMKUTA ANAZO? TUNAISHI ZAMA NGUMU SANA
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mke wa jirani amenieleza mapungufu ya mumewe

    Mwanaume ni mchunga kwa wanawake,,,, Mwanaume ana haki ya kushika simu ya mkewe, Mm sioni shida kwa hilo
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zelensky analaumiwa kwa kuzuia uvamizi wa Putin

    Hii comment bora kabisa kwa mwez huu....!
  10. J

    JamiiForums Tanzania Zamu ya Warusi kuwa wakimbizi, gavana aomba raia wasirudi, hali tete Belgorod

    Unadhani Urusi ni Msumbiji nn? Hahahahahaaaaaaa
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ndio kasababisha nimsaliti

    Unaongelea uislam ao walimu wa madrasa? Dini ya uislamu imekemea zinaa mwalimu wa madrasa akiteleza siyo uislam umemwamrisha,, Istoshe hawezi mwalimu wa madrasa kukaa na mwanamke anamzini miaka mitano halafu ndiyo aoe,, Uislamu ni mwepesi kwenye ndoa,, Hayo ya kulawiti hayana msingi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ndio kasababisha nimsaliti

    ALlah awaongoze,,kwakweli zinaa inatia ufukara,kinyaa,kupata madhambi
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ndio kasababisha nimsaliti

    Zinaa zinaa zinaaa
  14. J

    JamiiForums Tanzania Marekani yaruhusu Ukraine kupewa Ndege Vita

    Ukweli ndiyo huu,mamluki wako kwenye jeshi la Ukrein
Back
Top Bottom