Recent content by juliusJr

  1. juliusJr

    Msaada nimepoteza vyeti

    Habari wanazengo mmeamkaje Kijana wenu nimepata changamoto kidogo nimepoteza bahasha yangu yenye vyeti vyangu na kiukweli sijui nime misplace wapi bahasha ilikua na cheti cha form original ila nina result slip yake na cheti cha form six original na chet cha kuzaliwa original cha kuzaliwa sio...
  2. juliusJr

    Mwambie mama mkwe wako machache kuhusu mtoto wake

    Kwahy wamezaa vingamuzi vya Azam Tv
  3. juliusJr

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Hapana bro me ninaenda mwezi wa 4 kama sio wa 5 sijakutana na mwanamke wala kujichua lakin nilikua napata wet dream mwanzani haswa ule mwezi wa kwanza lakn ninavokwambia ndan ya io miez nimepata wet dream haswa kwa kumbukumbu zangu ni mara mbili Addition sikuwahi jua kama kuna hii challenge...
  4. juliusJr

    Naomba ushauri wa simu yenye camera nzuri kwa ajili ya picha za biashara

    Io picha imepigwa asubuh sana hapo amna msaada wa jua wala nn
  5. juliusJr

    Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

    Suratul iklaas 1.Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa rehema, Mwingi wa ukarimu. 2. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni Mmoja. 3. Mwenyezi Mungu Asiyehitaji, Ambaye wote wanahitaji Kwake. 4. Hakuzaa wala Hakuzaliwa. 5. Wala Hana anayefanana naye hata mmoja.
  6. juliusJr

    Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

    Hana lolote uyo anaongea uzushi tu Mungu hafananishwi na lolote wala chochote wao ndo wanasema Mungu alimuumba mwanadamu kwa mfano wake
  7. juliusJr

    Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

    Mungu ni mmoja na hana mshirika asa unaposema Mungu amegawanyika inamaanisha kwamba Mungu ana washirika kwa mujibu wako ama vip?
  8. juliusJr

    Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

    Hivi we unajua unachokiandika kweli na pia ninawasiwasi na kujua kingereza kingereza chako ujui kwanini Allah au God inawasilishwa na he na si she au nyie kwenye ukiristo Mungu hua anawakilishwa na she!? Such a shame
  9. juliusJr

    Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

    Hii sio kweli kwa maana umeagizwa na Mola wako kupitia mtume wake Mohammad S.A.W kua unapotaka kuoa ama kuolewa bhas usingatie mambo makuu manne ila la muhimu zaidi ni DINI sasa kama hifati ilo bhas jua kua sio mipango ya Mungu hapo kwa maana binadamu tumepewa akili na nafsi kwamba akili iongoze...
  10. juliusJr

    Serious mchumba atakae kua mke inshaalah

    Assalam alleykum warahmatullah wabarakatuh za muda huu ndugu zangu katika Imaan Naam mimi ni kijana wa miaka 27 inshaalah mwezi ujao naongeza umri pia ninaishi Daresalam, Tanzania nilikua ninauhitaji wa mchumba ambae atakuja kua mke mimi ni Muislam hivyo bhasi ningependa ningepata Muislamu...
  11. juliusJr

    PC inanisumbua kuupdate window 10

    Nimeidownload imefikia hapa
  12. juliusJr

    PC inanisumbua kuupdate window 10

    Sure niliipata imenisaidia hapa sema sasa ivo vitu vinabojidownload ni balaaa tupu GB's kama zotr
  13. juliusJr

    Tatizo lolote la PC/device

    Jaman msaada wa product jey ya window 10 pro
  14. juliusJr

    PC inanisumbua kuupdate window 10

    Hey habari za muda huu wakuu kuna PC hapa inanisumbua yan imekua nzito hata apps azifanyi kazi ipasavyo alikua anatumia dada angu sasa nimekuja kugundua ni muda mrwfu window haijafanyiwa updation sasa kila nikijaribu hakuna kinachofanyika yan Sasa nilivo connect nika update io window defender...
Back
Top Bottom