Mwambie mama mkwe wako machache kuhusu mtoto wake

Oppo A17k

JF-Expert Member
Apr 1, 2020
544
1,417
Habari ndugu zangu wa JF,

Poleni na tozo za watu na gharama za maisha kupanda juu.

Binafsi machache kwa mama mkwe juu ya mtoto wake

Nashukuru sana amekuza nimemaliza kuchora tattoo ya mtoto wake ijayo nachora tattoo ya baba mkwe na mama mkwe kama Shukrani

We una yapi juu ya mama mkwe wako juu ya mtoto wake?
 
Screenshot_20220831-081858_Google.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom