Lakn hoja ya ushirikina na uzandiki uliofanyika kipindi nchi inasimika miziz kama taifa nadhni nikitu kinacholitesa hili taifa lisipige hatua kwa kasi inayoitajika Malango ya taifa ili ilibidi siku ile ya uhuru iwe ni malango ya uhusiano wa watu wa taifa hili na Mungu lakini inaonekana malango...
najaribu kuelewa huu huzinduzi ni uzinduzi wa mkutano wetu wa chama chetu au ni wa waserikali?Rais wangu anatekeleza wajibu wake lakin napenda awa watoa neno wapunguze kusifia wanaweza kukufuru hapa....
Kazi kweli kweli,na ninachokiona kwa kamwe alitaondoka kwenye utumwa huu Mpya Wa Mtu mweusi ni wakati sasa taifa Hili liongzwe n.a. wa Tanzania wenye asili Ya watu weupe..
Hapana umetutukana vibaya kiongzi..Sisi wanachama wa kawaida na viongzi tunafikiria vizuri ni tutofautishe siasa zetu na hutu..Nakubali na pia namuunga Mkono Lissu kwa kutunza maadili ya Kazi yake ya uwakili
Hakuna uhakika wowote ule kuwa test yake ile imefailure kwasababu taarifa hizi zimetolewa na mashirika ya magharibi yenye propaganda za kutosha...credibilty ya taarifa hii kuwa zimefailure siyo ya uhakika kabsaaa,ulimwengu wa sasa ni vigumu vyombo vya habari vya magharibi ambazo nchi zao...
Sasa huo ndiyo uoga ambao nilikuwa nauzumgumzia..ebu nikihurize wazeee wetu akina nyereee waliopambania uhuru wetu wangekuwa na uoga kama wakwako huo leo hii situngekuwa bado ni watumwa wa wazungu wa Kiingereza..Vijana ni lazima mpiganie Maslai mapana ya uhuru wenu,Maendeleo yenu na Pia...
Ahahaha youth wa taifa ili...wanchekesha sanaa..wewe unambele wala nyuma,wewe maskini,baba yako na mama yako maskini,mjomba wako maskini,baba mkubwa wako maskini,ndgu zako wote maskini..Alafu bado unakuwa muongo...hahahah vijana wa kitanzania mnelogwa vibaya sanaa
ahahahah duh these people wanapewa order na nilisikia viapo vyao nikulinda taasisi ya ikulu na kiongzi wake..sooo they dont obey wananchi just the president.soo i hope what happen in a country wanajua ipasavyo...mwisho sijui malengo ya kuintimidate watu na viongzi ni kiachieve piece and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.