Recent content by JULIUS MKANYIA

  1. JULIUS MKANYIA

    Kila nikifuta messages zinarudi tena

    Naomba msaada wenu wakuu na wataalam wa JF. Simu yangu ni tecno p3, sasa kila nikizifuta messages baada ya muda huwa zinarudi zote kana kwamba zijazifuta, na nimefanya hivi zaidi ya mara 10. Tafadhali sana wakuu na wataalam naomba mnisaidie. Natanguliza shukrani za dhati kwa msaada wenu.
  2. JULIUS MKANYIA

    Naomba msaada wenu wakuu na wataalam wa simu

    Naomba msaada wenu Wakuu na Wataalam wa Simu za mkononi. Camera ya nyuma ya simu yangu Tecno P3 haifanyi kazi (haionyeshi hata kidogo) isipokuwa camera ya mbele tu ndio inayofanya kazi. Naomba mnisaidie Wakuu na Wataalam. Natanguliza Shukrani Za Dhati Kwa Msaada Wenu. Ahsante sana!
  3. JULIUS MKANYIA

    Nataka kujifunza mobile phone repair & maintenance.

    Ndio wakuu! Lengo langu na dhamira yangu ni kutaka kujifunza mobile phone repair & maintenance (software & hardware). Sasa wakuu ni wapi ambako naweza kupata mafunzo haya? Ahsante sana!
  4. JULIUS MKANYIA

    Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    Mkuu; Kwa kweli umesema jambo la maana sana. Hongera sana Mkuu.
  5. JULIUS MKANYIA

    Nahitaji line ya tigo-pesa.

    Nahitaji line ya TIGO-PESA. Kwa hiyo mtu yeyote mwenye line ya TIGO-PESA naomba awasiliane na mimi kupitia PM (PRIVATE MESSAGE), na kama itapatikana nahitaji kufahamu bei yake.
  6. JULIUS MKANYIA

    Marufuku kuokota embe hapa!!

    Mtoto mmoja alikuwa akiokota embe kwenye shamba la miembe la Mzee-Kijana. Mara yule Mzee-Kijana naye ghafla akaja kuliangalia shamba lake na kumkuta yule Mtoto akiokota embe kwenye shamba lake. Mzee-Kijana akamwambia yule Mtoto; leo iwe mwanzo na mwisho wa kuokota embe kwenye shamba langu. Yule...
  7. JULIUS MKANYIA

    Jamani lugha gongana

    Jamaa mmoja alipelekwa Mahakamani na ndugu zake kwa ajili ya "KULA KIAPO". Sasa muda wa "KULA KIAPO" ukawa unakaribia na yule akawa haonekani na ndugu zake wakaanza kumtafuta, na baadae kidogo akatokea. Ndugu zake wakaanza kumuuliza; mbona muda wa "KULA KIAPO" umeshapita, ulikuwa wapi? Akajibu...
  8. JULIUS MKANYIA

    Vituko vya mmasai guest house

    Mmasai mmoja alikodi chumba Guest House, na mara tu alipoingia kwenye chumba alichokodi ili alale, akakuta kitanda kimeshachomekwa chandarua. Kesho yake asubuhi Mhudumu akaja na kuingia chumbani kwa Mmasai akamkuta amelala chini, ikabidi amuulize Mmasai mbona umelala chini? Mmasai akajibu...
  9. JULIUS MKANYIA

    keki yazua balaa harusini......!!!

    Duuh! Hii ilikuwa ni Patashika Nguo Kuchanika.
  10. JULIUS MKANYIA

    keki yazua balaa harusini......!!!

    Duuh!! Hii ni Patashika Nguo Kuchanika.
  11. JULIUS MKANYIA

    Njia za asili za kukuza uume

    Ni kweli kabisaaaaa! Tena ni Punyeto Yenyewe.
  12. JULIUS MKANYIA

    Njia za asili za kukuza uume

    Mmmmm!! Duuh!! Haya yetu ni macho na masikio.
  13. JULIUS MKANYIA

    Atakayenifundisha Adobe Photoshop

    Nahitaji mtu yeyote anayeifahamu vizuri sana Adobe Photoshop na Adobe PageMaker ili anifundishe. Kwa mawasiliano zaidi niandikie PM.
  14. JULIUS MKANYIA

    Nahitaji Mashamba nje ya mji ya bei nafuu.

    Habari za leo.mashamba yapo ya bei nafuu kwa sehemu unazotaka.bei yake kuanzia milion 6 mwisho milion 5 kwa heka.wasiana nami'mch frank ndunguru-simu.0684934612.asante
  15. JULIUS MKANYIA

    Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    Ahsante sana mkuu kwa kutufumbua akili na fahamu zetu juu ya sheria katika nchi yetu ya tanzania.
Back
Top Bottom