Tusiwe waogawaoga pale inapokuja mikakati ya kucapture wadau wa maendeleo ndani ya nchi yetu
Hizi bandari zetu hazina maana yeyote km hatutaandaa mazingira ya kuzifanya kuwa bussy .
Rwanda wako serous na suala la maendeleo ndio maana wanachungulia fursa kwa kuangazia kona zote
Mnakumbuka...
Tulitaka kiongozi wa dizain ya kagame, sasa mnalialia nini.
Si mnaona hata kagame anapewa vyeo na marais wetu wa AU.
Tulizidisha porojo acha pombe atuleweshe kwa hapa kazi. Wapiga deal wanatia huruma suruliali zimewalegeaje! Vitambi kwishney. Wanapiga mizinga hatariiii..., wazoea vya kunyonga...
Umeandika kama vile unamwelezea mhalifu kosa lake bila kufafanua ni nini kilitokea na kupelekea tatizo hilo.
Siku nyingine unapoandika humu usichukulie km vile unawaelezea wahalifu namna ya kufuata taratibu.
Hapa tunapeana taarifa na kuelimishana over
Pierre ni mhutu sio mtusi ambao ndio wenye chain ya bahima,
Afu ukiangalia kwa kias fulan wahima wamekuwa wakimtenga pierre.
Jaribu kuangalia uhusiano wa pierre kwa kagame na m7 jibu liko wazi sio mshirika hata chembe
Mnabwabwaja sana lkn ukanda ummeukumbatia ninyi, mbona kipunguni wanabomolewa waliokuwa wamelipwa km kimara na hatusikii hizo kelele zenu.
Hamtaki kusikia neno zuri kuhusu mwz mishipa inawasimama, ni miaka mingapi mlikuwa mnajipendelea lkn wengine wamekaa kimya wakijua ni maendeleo ya watz wote...
Mjini mipango kaka, ukute ktk mshahara wako umetenga nauli ya mwezi mzima na huna kipato kingine ni mpaka usubirie mshahara unaofuata asa kutoa hiyo 50 ni kuvuruga mipango
Ni sawa na wewe hukutaka kuchenji 10,000 na wakati ni yako, nini kilikutuma kuomba huku ukiwa na pesa mfukon na huenda hao...
JPM Yuko vizuri japo kuna mapungufu machache
Tatizo anaongoza watu wavivu na wapenda mipasho
Nimemsikia sgr dar to dom pesa ipo hata km mkandarasi akiiomba yote leo hii angepewa, big up magufuri chapa kazi
Mbowe aachie ngazi, hivi waafrika tunanini!
Katika mazingira kama haya ya watu kuhama chama, m/kiti anashindwa nini kujitathmini na kuchukua hatua za kukinusuru chama!
Hiyo deficit mbona inapungua kwa kasi sana
Ujue bidhaa nyingi ndogo ndogo za viwandani kwa sasa zinazalishwa hapahapa na hata ukienda supermaket za hapa dar unagundua uwepo wa bidhaa nyingi zinazo zalishwa nchini.
Tumejipanga miaka kadhaa ijayo tutaongea lugha nyingine hapa hayo mamba ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.