Recent content by JULIETH MRINGO

  1. J

    JamiiForums Tanzania Wanaume tutalijibu hili siku ikifika . . .!!

    mmmmmmm hiyo nikali
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nampenda but yeye anichukulia kama kaka....!

    mpenda usichoke na usikate tamaa, jaribu kuwanae karibu,ongea naye kirafiki,uwe una mletea vizawadi kumsogeza karibu na wewe,tokeni out za hapa na pale,mwonyeshee kimapenzi zaidi na onyesha kunjali sana, kumweka karibu nawe chaoooooo
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe ulishazaa na mavirusi huenda unayo….!

    Rafiki yangu pole sana. nakushauri umpe Yesu maisha yako, utajiepusha na mengi. hata sasa MUNGU amekusaidia. karibu sana By Peniel Machange - penielk@gimail.com.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Angalia mwezi ujue tabia zako!!

    daaa april hii miezi niya ukweli wajameni
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ni upi upendo wa kweli kwako?

    kwakweli yule anaye subiria mpaka ndoa kama hawezi kuniridhisha inakuwaje tunavunja ndoa, ni heri anayefanya anajua kabisaaa bwana sisi tumeridhiana bila shida
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kabila gani nibora kwa kupata Mke ambaye anaweza kufaa nakushi mazingira yeyote

    kwakweli sithani kama mke wanaangalia kabila,kwakweli sasa unapoelekea sipo kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa angalia vitu vyingine kaka
  7. J

    JamiiForums Tanzania Nimempenda kuliko wote. Lakini hanipendi.

    Jamani kaka pole na matatizo,mimi naona kaa naye ongea naye kirafiki, muulize amechoshwa na nini?huduma zote anapata huwezi jua upande wa kitandani humfurahishi pia muombe mungu akusaidie swala hili watu wanaona dogo sana,lakini lina sumbua sana akili,,tumuombee atabadilika chaooooooo
  8. J

    JamiiForums Tanzania Unaweza kunipenda bila kuniona?.....

    kwakweli lazima muonane na mjuane,mawasiliano hayatoshi na pia kuonana ina mata
  9. J

    JamiiForums Tanzania Shangazi yangu ananibaka kila mara, nifanye?

    balaaaaaaa kwakweli wewe umezoea kamchezo,wewe nomaaaaaaaaa
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kuwahi kumaliza anapofanya tendo la kujamiiana…….!

    haaaaaaaaaaaaa,,,,,,,,, kwakweli hihi ni changamoto kwa wanaume big :lying::lying::lying::lying::lying::lying:
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mahusiano

    kwakweli mchunguze huyo dada vizuri anaweza akawa anakuda nganya,hana mapenzi na wewe:lalala:
  12. J

    JamiiForums Tanzania Wanaume nisaidieni, mwanaume mwenye upendo wa dhati kwa mpenzi wake ana act vp?

    jamani mapenzi sio picha, ni wapenzi wawili kupendana,kuheshiniana,kujaliana pia kusaidiana katika shida na raha. hayo ndo mapenzi:A S-heart-2:
  13. J

    JamiiForums Tanzania 'Reputation-Personal Branding' aka 'The Mhogo Mchungu's'

    kwakweli kuwa mhongo mchungu's hiyo haileti picha nzuri kwa mwanamke hayo ni mapenzi kizushi:frusty:
  14. J

    JamiiForums Tanzania Goodbye my dear @preta

    kuwa na amani mungu atakusaidia katika safari yako chaoooooooooooo:nono:
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wanaowafungashia waume zao na kuwapeleka kwenye nyumba ndogo…!

    kwakweli wanawake tuwe na heshima kwa waume zetu na pia tuongee nao vizuri na tuwaeshimu:high5:
Back
Top Bottom