Recent content by Juley Aru

  1. Juley Aru

    JamiiForums Tanzania Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

    Boys in da hood, eazy E
  2. Juley Aru

    JamiiForums Tanzania Watu wa Kagera mnaishije? Hali ni ngumu sana huu mkoa

    Sehemu gani
  3. Juley Aru

    JamiiForums Tanzania Hivi bomba la gesi na lile la Tazama limenufaishaje nchi kabla ya kudanganywa la mafuta ya Uganda?

    Nimecheka sana, unachotaka nini zaidi juu ya hili bomba
  4. Juley Aru

    JamiiForums Tanzania Bongo Hip-hop finest lyrics.

    Life is parallel to hell But i must maintain. Nas
  5. Juley Aru

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kuwahi kumaliza anapofanya tendo la kujamiana

    Dunia ingekua na uhaba wa watu
  6. Juley Aru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi Kenya Wapunguzwa Mishahara

    Kumbe yanawezekana
  7. Juley Aru

    JamiiForums Tanzania Dar: Sakata la Polisi kuuana wenyewe nje ya benki laacha sintofahamu

    Mbona ya jeshi miezi mi4
  8. Juley Aru

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu juu ya tukio la Askari Polisi dhidi ya Mwanajeshi katika benki fulani jijini Dar es Salaam

    Tukiwa jkt pyesa zilipokua zikifuatwa benki mbona sikuwahi kuona hao polis wakisindikiza
  9. Juley Aru

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu juu ya tukio la Askari Polisi dhidi ya Mwanajeshi katika benki fulani jijini Dar es Salaam

    Nakumbuka miaka mitatu nyuma nilikua ATM flan ya NMB mtwara, nilipojarib kutoa pesa hazikutoka maana zilikua zimeisha. Nikaingia ndan nikawaambia.. then nikarud palepale kwenye ATM. akatoka mfanyakazi wa benki na askari wawili wakiwa na bunduki zao, bila kuniambia kitu wakapita nyuma yangu...
  10. Juley Aru

    JamiiForums Tanzania Dar: Sakata la Polisi kuuana wenyewe nje ya benki laacha sintofahamu

    We jamaa ni askari au mwanafunzi wa 4th year??
  11. Juley Aru

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lolote kuhusu Radiology(Xrays, ultrasound) na Radiotherapy

    Bt naongelea XRF katika environmental samples
  12. Juley Aru

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lolote kuhusu Radiology(Xrays, ultrasound) na Radiotherapy

    Baada ya x-ray, unapoambiwa njoo uchukue majibu baada ya saa 24 ni kwamba technician hajui kutafsiri ile image anamsubiri mtaalam au?. Maana inawezekana vip x-ray itumie masaa 24 wakati readout inatoa majibu muda huohuo?
  13. Juley Aru

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu juu ya tukio la Askari Polisi dhidi ya Mwanajeshi katika benki fulani jijini Dar es Salaam

    Ina maana askari karibu wote hawakuiva kozi, maana hakunaga askari anaevumilia matusi au lugha mbaya mitaani
  14. Juley Aru

    JamiiForums Tanzania Florida: Watu wanne wafariki dunia baada ya daraja kuanguka

    Haya mambo yanatokea, si kwa kupenda. Lakin ingetokea apa nadhani ingeongeza kasi ya maandamano
  15. Juley Aru

    JamiiForums Tanzania Hivi Jay Z amewahi kupafomu Tanzania???

    Hapana?
Back
Top Bottom