Recent content by JUKWE

  1. JUKWE

    Irene Uwoya naye ajitupa kwenye siasa, Achukua fomu ya ubunge viti maalum Tabora

    Ccm kweli inakufa wanaondoka kina lembeli wanaingia kina wema, uwoya nk
  2. JUKWE

    Fahari huduma

    Wadau mi ni mteja wa crdb kila nikipita naona mawakala wa fahari huduma,ila sijawahi kupata huduma yoyote kwa kupitia hao mawakala wa crdb,naomba uzoefu wenu kama kuna mtu alipata huduma kupitia hao mawakala kuhusu safety ya kubank kupitia kwao.
  3. JUKWE

    Nahisi nimerogwa, wanaume wa maana nawakataaaaa Katu! kutwa kuhangaika na Majanga

    nothing is real.................hyo movie inaitwaje tena?
  4. JUKWE

    Barua ya kijana anayetaka kuwaua ndugu zake ili awe tajiri

    Wajamen hebu somen hiyo attachement ya kijana wa Rombo aliyeandika barua kwa FREEMASON ili awe tajiri na yupo tayari kutoa ndugu zake kafara na kawataja.(mods hebu iweke vizuri wadau waweze kuisoma vizuri) Inatishaaaaa
  5. JUKWE

    Sheria ya kulinda uchumba.

    hapo sasa mahakama ndo itaamua nani mwenye kosa ikionekana yeye ndo mwenye kosa lililopelekea wewe ukavunja uchumba then anatakiwa akulipe fidia wewe.
  6. JUKWE

    Sheria ya kulinda uchumba.

    Yap nimeiskia ila sijui kama imeshakuwa sheria na ndo mwanzo wa mjadala wetu ulipoanzia eti na sisi huku TZ tuipigie debe.
  7. JUKWE

    Sheria ya kulinda uchumba.

    Wadau jana nilikuwa kijiweni na jamaa zangu,wakati tunastorika as usual walipo vijana story kama sio siasa basi ni masuala ya mahusiano. Jamaa mmoja akaja na wazo ambalo ilibidi ni think na kurethink more about it maana nimeona ni relevant sana kipindi hiki Eti iwepo sheria ya kulinda...
  8. JUKWE

    Wasichana wa sekondari ni hatari sana kwa sasa.

    MI ilishawahi kuntokea baada ya kutomjibu akanambia...we ni mzima kweli?mmmh ilinipain maana kikwetu hilo ni tusi tosha balaa zaidi lilitoka kwa mtoto wa form two.
  9. JUKWE

    My Wife DOES NOT WORK !!!

    when she stare at you............mmmmmh inanihusu sana maaana duh.........................
  10. JUKWE

    Nyota zina ukweli ndugu zangu zifuatilieni

    Wadau mi ni mfuatiliaji mzuri wa nyota zinazotolewa magazetini na mara nyingi zimekuwa ni sahihi almost 80%.Leo nitoe ushuhuda ebwana nyota yangu mwishoni ilikuwa inasema utapatana na mpenzi wako mlio achana nikasema let me try one thing,wanajamvi kuna gf wangu tulizinguana kipindi tupo chuo...
  11. JUKWE

    Natafuta kazi!

    ungekuwa na unajua hesabu si ungefaulu hata kiswahili na civics
  12. JUKWE

    Simuelewi huyu demu

    Ashakutema sema we hujaelewa tu!na reason ni kwamba huna hela au we si kipanga.
  13. JUKWE

    30 Ways to make your woman happier!signed by all women under the sun

    duh kwa kujipendelea taratibu mnafanya mapinduzi....ukifanya yote hayo una tofauti gani na ----- what so special she will return nikimfanyia hayo yote.
Back
Top Bottom