Watu wa mjini uchoyo unawasumbua. Kila kitu budget mbona nyie mkija vijijini hatuwanunii mnakaa tunawakarimu na kuwapa zawadi ya misosi bila hiyana! Sie tukija mnanuna... ukizingatia wengi wenu originality yenu ni bush... uchoyo tu ndio unawasumbua.
Ki ukweli Kigoma ni kiini cha mabadiliko ya nchi hii . Hawa vijana hata wakisimama bungeni lazima wavute tension za watu....guys we're saluting your efforts towards the change in our mother Tanzania.
Huo ndio utofauti kati ya m'me na m'ke. M'me hata awe katili kiasi gani hawezi fanya unyama huo kwa malaika kama huyo. M'ke akiwa katili ni zaidi ya shetani. Fikiria mtu anabeba mimba miezi tisa kisha anazaa mtoto na kutupa chooni....huu ni ushetani wa hali ya juu ndio maana asilimia kubwa ya...
Hongera sana bw. Zito na kamati yako kwa kuyaweka wazi haya mambo...bigup bro.
Vilevile nisikitike kwa baadhi ya wadau humu kuanza kuleta mizaha na kutaka kukukatisha tamaa...hilo lisikupe shida wazalendo wakweli tupo nanyi...
Mnyonge mnyongeni lakini haki mnayostahili lazima tuwape...
Hivi hawa wanawake kwa nini wamekuwa makatili kiasi cha kupindukia? Hii ni zaidi ya ushetani kabisa. Juzijuzi tena tunasafiri na treni toka Dar kwenda Kigoma na mwanza, tulipofika mlima saranda tunajiandaa kuteremka Itigi, mama mmoja mwenye mtoto kamwomba msaada mama flani ambaye naye alikuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.