Ninachoma Dollar
Senior Member
- May 29, 2014
- 117
- 134
ahsante kwa mtonyo mkuu,ntafatilia zaidi juu ya hiloMembe=JK
ahsante kwa mtonyo mkuu,ntafatilia zaidi juu ya hiloMembe=JK
Nitafurahi tukipata Rais Kijana mwenye fikra mpya na mawazo mapya. January na Mwigulu nawaombea mmoja wao apate nafasi ya kutiongoza.
Jamani mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Hakuna mtu mwingine mwenye uthubutu wa kukemea maovu zaidi ya Lowasa. Kila mtu anafahamu alivyokua mchapa kazi akiwa waziri mkuu. Hii ya kujiuzulu uwaziri, hakujiuzulu kwakuwa kausika kuchukua pesa. Bali aliwajibika tuu kama waziri mkuu. Mchagueni airekebishe nchi hii ambayo kikundi cha watu wachache wanagawana rasilimali za nchi kama nchi ni ya kwao wenyewe. Tatizo kubwa ambalo tunalo wananchi ni kwamba tunakwenda kwa ushabik wa vyama. Tukitaka mafanikio ktk nchi hii, kwanza kabisa tuacheni ushabik wa kivyama. Zote tuungane tumchague mtu atakaetusaidia kuiondoa hii hali iliyoko kwa sasa hivi ambae sii mwingine ni EDWARD NDOYAA LOWASA. Mpeni kura zenu wote na hamjajutia.
Wassira atasubiri sana kwani hana sifa za kuwa Rais material,kwanza hata ktk jimbo lake hakubaliki na alipita kwa kumnunua mgombea wa cdm na kwa sasa pia analumbana na ESTHA BULAYA anayekuja kwa kasi jimboni humo.T.2015 ENL ndo suluhu ya JMT

jiandae kisaikolojia kwasababu wapinzani wanachukua nchi 2015
Siyo rahisi kwa sasa bado nafasi ya CCM ipo kubwa sana
The next presedent is prof. Mwandyosa pm is dr. Pombe...hutaki kaa chini.
The next presedent is prof. Mwandyosa pm is dr. Pombe...hutaki kaa chini.
Ashki majnun