ni wazo zuri kuna watu wanaitwa ATOGS wao wametengeneza blog kabisa na imezinduliwa tangu mwezi wa sita unalipia kiingilio milion 2 halafu wao wanasaka kila opportunities zitakazokuwa ndani ya OIL and gas lakini target ni bomba la mseveni then watakuwa wanashare na watu wanaruka nazo ila...
SIO KILA RISK TAKER ANAFANIKIWA MKUU,
KUNA MTU ALIRISK AKACHUKUA KIASI KIKUBWA CHA HELA AKAENDA KUHONGA WATU ILI WAMCHAGUE MTU FLANI BAADAE APIGE HELA NYINGI KAMA AKIPITA LAKINI TANGU SIKU ILE MAMBO SI MAMBO, MARA HELA IMEKAMATWA KABLA YA KUGAWIWA ,MARA BIASHARA YAKE HII INA SHIDA..........LEO...
najua sana mkuu ila hii sio sababu ya kuwa wa mwisho kama wanafunzi wamejiandaa na kuandaliwa kufanya mtihani.anyway lengo langu kama mmoja wa wazazi na mdau wa elimu ni ushauri wangu shule kama inahitaji kufanya vizuri iandae mazingira ya kufanya vizuri na si vinginevyo maana tutazalisha kizazi...
Udanganyifu shule binafsi ni mkubwa sana.
Mama ndalichako kazi unayo tena kubwa.
Haiwezekani shule iwe ya tatu kitaifa mwaka mmoja baadae iwe nafasi ya mwisho kabisa.
Alliance girls mwaka 2016 kidato cha sita…nafasi ya 1 Kimkoa. Nafasi ya 3… kitaifa
Alliance girls mwaka 2017 kidato cha sita...
Umeongea vizuri sana!
Hawa ni wasio na akili na hawajui walifanyalo.
Ni waganga njaa tu hata upinzani hawaujui ndo maana chama cha mapinduzi kitaendelea kuwapindua tuu
Kwanza waoga...askari mwoga hawez vita
Pili si wazalendo..mtu ambaye si mzalendo ukampa uwakala wa kusimamia kura ukimpa simu ya...
una akili sana ambazo wengine hawana/hawajui.........................
biashara inayomilikiwa na wanahisa ukiwa na kashifa kidogo unaweza kushangaa upo peke yako watu wameshakunyang'anya mtaji wote.
maana wenyehisa wanaviziana na waendeshaji. ukinunua hisa za Vodacom leo ikiwa na thamani ya 1000...
Uko sahihi kabisa ndugu yangu
Mungu atatusaidia, ipo siku wanafiki wa kiafrica wataisha na kitakuja kizazi cha kujitambua, ujinga wetu ndio umasikini wetu.
Inaumiza sana ukiingia youtube ukaona dada zetu walioko uarabuni wanafanya kazi za ndani wanayofanyiwa utalia, ukiangalia wahindi...
If you have nothing to do, it is better to keep quiet and watch the movie.
Upinzani wa kisiasa doesn’t mean everything from other side is bad/wrong.
What you fill in your brain today, will have either positive or negative impact in your future.
Nchi gani za ulaya unaweza kukuta wazawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.