Recent content by judey

  1. judey

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Hiyo deco ikojee naomba kufahamu
  2. judey

    JamiiForums Tanzania Msaada juu upatikanaji wa ajira za wataalamu wa umeme ngazi zote

    Ulipata ajira??
  3. judey

    JamiiForums Tanzania Natafsiri vitabu kutoka lugha Kiingereza kwenda Kiswahili bei 5000 Tsh

    Nina vitabu vya spanish natamani kuvitafsiri kwenda kiingereza na zna michoro pia kuna uwezekano hapo wa kuvitafsiri maana ni vya ufundi kwahiy kunakuwa na michoro na maelezo ya kispanish natamani yawe kiingereza
  4. judey

    JamiiForums Tanzania Jinsi Nilivyojifadhili Chuo cha kati na sasa chuo kikuu bila backup yoyote

    Achana na kusoma kaka utasoma ukiwa akili imetulia elimu uliyopata inatosha kabisaa tafuta hela najua unawadogo zako pambania kesho yao hapo ulipofika inatosha. "" Sisi tusiopenda kuonewa huruma hatuhitaji kulia pia kwa watu " piga moyo konde pambania utafanikiwa amini
  5. judey

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu wa Leo Kwa vijana

  6. judey

    JamiiForums Tanzania Depression inanimaliza, sina muda mrefu wa kuishi

    MUNGU AKUZIDISHEE NDUGU KWA MOYO WAKO HUO
  7. judey

    JamiiForums Tanzania Depression inanimaliza, sina muda mrefu wa kuishi

    MUNGU AKUTIE NGUVU AKUPE AMAN AKUPE KUJIAMINI, AKUPE KUKUBALIKA, KUDHAMINIKA , TTUNAPOINGIA MWAKA 2025 UKAWE WA TOFAUTI KWAKO KAMA HAUSALI JITAHIDI UANZE KUSALI ITAKUSAIDIA NIMEPITA KWENYE HALI HIYO NAELEWA NINI MAANA YA MSONGO WA MAWAZO LKN NASHUKURU MUNGU NIKO NAPAMBANA HAKUNA...
  8. judey

    JamiiForums Tanzania Tafakari yangu juu ya mchezo wa jana kati ya singida black stars dhidi ya simba

    Muwe mnaangalia mpira vizuri bana sio kulalamika lalamika malalamiko fc , ile aliyotoa Hamza kulikuwa na offside kwa mchezaji wa singida angalia vzr utaona sio unalalamika tyu Ubaya ubwelaa
  9. judey

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kazi

    Chukua namba 2 kaka, kwa namna yeyote ilee
  10. judey

    JamiiForums Tanzania Natafuta kibarua chochote Mwanza

    Mwanza kugumu sana , lkn nikujichanganya tyu
  11. judey

    JamiiForums Tanzania Crown Media inatoa wapi pesa kuajiri wafanyakazi wake?

    Wadau hiyo $2500 si ni million sita na upuuz kwan hiyo ni hela ndogo
  12. judey

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mhindi tapeli wa viwanja Kigamboni, anataka kutapeli wananchi kwa kutumia makampuni hewa 4

    Wasillliana na malisa GJ itakuwa rahisi kuwafikia wakubwa kwa maoni yangu
  13. judey

    JamiiForums Tanzania Msichana miaka 22 Anatafuta kazi/ajira

    Mungu akupe haja ya moyo wako
Back
Top Bottom