Recent content by juan david

  1. juan david

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Papaa kila kocha kwake ni mbaya
  2. juan david

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Nadhan umeamini sasa kwamba Alonso anakuwa ni Manager na Si Head Coach. Lengo langu naomba Hizi game zote tusipate point ili tumalize nafas ya 9 hapo tukose hata hiyo conference ili msim ujao tuwe na mda
  3. juan david

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kuna utifauti kati ya Manager na Head Coach,Maresca alikuwa Head Coach na Alonso ni Manager hivyo anakuwa na power zaidi aliyopewa
  4. juan david

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hatimae wamejifunza na tumepata kocha mzuri sasa,Report zinasema Alonso atakuwa Manager badala ha Head Coach kama waliopita,Hii inamaana anakuwa na power katika kikosi na baadhi ya vitu. Ngoja tuone signing zitakuwaje na Je hawa SD na Owner hawatomgeuka baadae? Natumai tumejifunza,Naomba msim...
  5. juan david

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Haitokuja itokeee, Hizi ndoto inabidi uamke mapema sana
  6. juan david

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mkuu maamuzi huwa hayaji hivi hivi ghafla lazima yaanzie mahali, Wanaowaspot hao makocha na wachezaj nao ni uozo huo ndio ukweli, Hii team ishakuwa ni kichekesho, yani sasahiv tuna quantity kuliko quality. tulikataa kumlipa Olise sijui 250K kwa wiki tukamuacha . Inshort hakuna mchezaji yeyote...
  7. juan david

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Nimetoa mfano hapo katika kitu unachokisahau ni kuwa Hii team kwa sasa ina PR kubwa kuliko uhalisia, Kitu ambacho tunachoshindwa elewana ni kuwa wewe unahisi Eghbal ndie anaefanya mamuzi yote ila kabla ya yote maamuzi yanaanzia huku chini, Sawa sawa na leo Kama Eghbal angekuwa angekuwa...
  8. juan david

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Swali ninani anaefanya shortlist??? Au anaefanya scouting ??? Sijakataa kama wamiliki hawana kosa ila SD nao wanamakosa, wenzetu huwa wakiona wanaingiliwa kwenye majukum yao huwa chap wanasepa, Sd ndio wanaona team inahitaji nini na mchezaji huyu anatufaa, unataka kusema Kwamba Eghbal ndie...
  9. juan david

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Tunazunguka eeh ila tusahau swala la kocha Hatafuti mmiliki wanaotafuta ni SD same kwa wachezaji mmiliki ni kama amekupa funguo wewe ametala team yake iwe abcd na wewe kwakuwa ndio mtu wa mpira unao uwezo wa kufollow plan hiyo hiyo au ukashauri. Kwa swala la Kocha SD ndio wanaotafuta kocha...
  10. juan david

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kwa hii team hatuwezi kupata mtu atakae weza wachallange wale SD Team gani kubwa ushawah ona ina SD wawili na wote kutoka team ndogo?
  11. juan david

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Lini top club inakuwa na list za makocha 10 na kila kocha unamuhojk? Inshort tuna watu ambao hawajui kuongoza top club, Watu wanaolewa wangekuwa washajua tuna wachezaj wanamna hii na yupo ni kocha available ambae tunaweza mpata. Wakat wa roman makocha kama Ancelloti, walikuwa kwenye team ila...
  12. juan david

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mkuu hawa SD wanapenda sana PR amini katika hilo kuwafukuzia sidhani kama ni sentens sahihi zaidi ya kutaka kuonekana kama walifanya juhudi mbele ya fans, Summer nzima unamzungumzia Xavi Simmon halaf ukaenda kwa Garnacho kama ndio priority
  13. juan david

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Iraola au Marco Silva hakuna tofauti hapo tuendelee na maumivu. Unawachezaj wa style nyingine then unaleta kocha wa style nyingine😂 Inshort tunaSD ambao ni incompentent kwenye kuongoza team kubwa na ndio maana wanachase makocha wa mid table kwa sababu ni ngumu sana kumshawishi kocha wa team...
  14. juan david

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    hawa ndio makocha nahisi nibora kwa sasa ambao tunaweza wapata Xabi Alonso Luis Felipe Seb Hoeness Cesc Fab Ila chance ni ndogo maana hawa wote sio wa yes Man kama Rosenior hivyo tutaangukia kwa kina Marco Silva au Iraola ambao ni Yes man
  15. juan david

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Je hapo unalaumu Matajiri au SD???? Ni sawa sawa leo hii tumuappoint Iraola ambae ni Poch v2😂😂 system yake na player tulip nao ni tofauti, Utalaumu Wamiliki?? Inshort hii team sasa hivi inanendeshwa kwa kujuana,Kama una kaconnection kokote kale basi unanafasi kubwa ya kupata
Back
Top Bottom