Dogo bado haujajua life la mtaani vizuri, sio kosa lako sababu umemaliza chuo mwaka huu.
kama maisha ya nyumbani ambapo unalala na kula bure yanakushinda kisa unatumwa tumwa ya huko unako kwenda utayaweza¿
Bad enough unasema unaenda kwa rafiki yako na haujapata connection ya kazi huoni unaenda...
Be creative una degree afu unamuomba mzazi ela ya matumizi!, kwanini usiuze hata mihogo ya kukaanga.
Tatizo vijana mkimalizaga chuo mnashindwa kujiongeza mnawaza kuajiriwa tu.
Darali ni mtu anaye kaa kati ya mnunuzi na muuzaji kwa lengo la kupata maslahi.
Sio mbaya akipata maslahi shidah wengi hawana ela wanategemea kuja kuona mzigo ndo watumiwe ela na maboss wao kitu ambo ni kigum.
Ni vema kama wanataka kuwa second boss wapewe ela kabisa sababu ukishafika shamba...
Habari za leo, natumaini nyote mpo vizuri.
Kama kichwa kinavyo someka, lengo kuu la kutaka tukutane hapa ni kuwaambia wadau wanaoitaji kununua iliki kuwa mzigo upo wa kutosha.
Hiliki inapatikana kwa jumla na rejareja, bei ya reja reja ni 25000 kwa kilo na bei ya jumla ni 22500 kwa kilo.
Kwa...
Habari za leo,
Ni matumaini yangu kuwa haujambo na una afya njema. Kama huna tatizo lolote upo physically and mentally fit huna budi kumshukuru Mungu.
Kama nilivo tangulia kusema kwenye kichwa. Lengo la kuandika huu uzi sio kwamba JF members wote hatufaham jinsi ya kutoa bablishi kwenye nguo...
Kama kichwa kinavyo ongea, kutokana na janga la Corona virus pandemic, watu wana shauriwa kunawamikono kwa maji tiririka na sabuni.
Lakini siku hizi wengine wanaona kunawa maji kila wakati ni usumbufu kwahiyo hutumia sanitizer kama mbadala wa kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni.
Njia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.