Nilitaka kununua kupitia IndiaMart in wasumbufu nikaachana nao, nikaagiza kupitia Alibaba niliupata mzigo ila bei niliyopewa ilitofautiana na iliyokuwa kwenye tangazo ilikuwa juu kidogo
Askofu yuko sahihi, Kanisa limepewa kibali cha kuomba kwa MUNGU aingilie kati na kuiponya nchi, 2 Nya 7:14. Tatizo ni mtumishi yupi anaemheshimu anaona uchungu asimame amwambie MUNGU yatosha hapa tulipofika. Maana anasema anaheshimu watumishi wake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.