Recent content by jrmpya

  1. jrmpya

    Je, kuna uhusiano wa Meditation na Uchawi?

    Inategemeana na aina ya meditation unayotaka kuifanya wewe, maana meditation nyingine ni demonic lakini kwako wewe uliyeokoka unatakiwa kufanya biblical meditation ambayo hii unatumia neno la Mungu Kama center of your meditation. Kama upo serious nicheki kwa namba hii ili nikutumie vitabu...
  2. jrmpya

    Pilipili kichaa zinahitajika kwa wingi

    Habari za mchana huu wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza pilipili kichaa inahitajika kwa wingi Sana zaidi ya tani kumi na tano. Kama wewe ni mkulima wa pilipili kichaa au unafahamu mahali zinapatikana, tafadhali msaada wako unahitajika hapa. 0742304314 Shukrani kwa mchango wako.
  3. jrmpya

    Forex imenifilisi, naomba ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji huu

    NZDCHF H1 BEFORE AND AFTER ANALYSIS ILIFANYIKA JANA LEO NIMECHUKUA CHANGU!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. jrmpya

    Forex imenifilisi, naomba ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji huu

    Kweli kabisa kama Mimi ni multichannel trader!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. jrmpya

    Forex imenifilisi, naomba ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji huu

    Binafsi imenichukua miaka miwili hadi kuanza kuona consistency kwenye game, lakini kabla ya hapa nimechoma sana akaunti zisizo na idadi lakini nilijipromise kuto kukata tamaa na sasa namshukuru Mungu naona matunda ya forex. Nimedevelope methodology au strategy yangu na nimeipa jina LA MONEY...
  6. jrmpya

    Nimsaidiaje huyu best yangu anayefilisiwa na Forex?

    Mbao ya chuma, Kama kweli anaamini katika anachokifanya atafanikiwa, usimkatishe tamaa bado yuko kwenye learning curve ambayo inaweza ikachukua hata miaka mitatu, usimkatishe tamaa!! Binafsi imenichukua miaka miwili hadi kuanza kuona consistency kwenye game, lakini kabla ya hapa nimechoma sana...
  7. jrmpya

    Nimekuwa na interest ya kufanya biashara ya spices katika masoko ya nje

    Group name ni FOODSTUFF EXPORTATION badala ya spices exportation.
  8. jrmpya

    Nimekuwa na interest ya kufanya biashara ya spices katika masoko ya nje

    Ni wazo zuri sana, na Mimi nakuunga mkono. Nalifanyia kazi. Kwa kubadilisha heading na group name. Shukrani.
  9. jrmpya

    Nimekuwa na interest ya kufanya biashara ya spices katika masoko ya nje

    Habari za majukumu vijana wenzangu? Nimekuwa na interest ya kufanya biashara ya spices katika masoko ya nje na sasa naona ni wakati Wa kuanza kuitendea kazi interest yangu, maana ni biashara inayolipa sana. Sasa najua kuwa wapo wengi wenye interest ya biashara hii ya viungo lakini bado...
  10. jrmpya

    Kuku kienyeji(chotara) wanauzwa

    Habari za kazi ndugu zangu, nahitaji kuku waliomaliza kutaga zaidi ya 1000. Kwa aliyenao anipm tufanye biashara nipo dar. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. jrmpya

    Kuku kienyeji(chotara) wanauzwa

    Habari ya kazi ndugu zangu, kama kichwa kinavyojieleza nauza kuku aina ya chotara ni wakubwa kama ambavyo wanavyoonekana kwenye picha. Bei ni 18000 ukichukua wengi inapungua, tupo kinyerezi, dsm. 0713032969 kwa aliye serious na biashara tuwasiliane.
  12. jrmpya

    Wazalishaji na wauzaji wakubwa wa mchele(Long grain white rice)

    Heri ya mwaka 2017, mwaka wa mafanikio makubwa na utimilifu wa mipango na ndoto zetu za miaka mingi. Kwa neema ya Mungu nimepata order ya kusupply mchele 30000 metric ton kwa mwezi kwa muda wa miezi kumi na mbili. Hivyo nahitaji kuchilikiana na wazalishaji na wauzaji wakubwa wa mchele( long...
  13. jrmpya

    Kifahamu kilimo cha maua

    Asante sana kwa ushauri mzuri.
  14. jrmpya

    Kifahamu kilimo cha maua

    Uwezekano wa kuwa na green house upo, je ni lazima ulimie kwenye green house?
  15. jrmpya

    Kifahamu kilimo cha maua

    Habari ndugu zangu, naomba kujua kuhusiana na kilimo cha maua kama vile waridi (roses). Ikiwa kuna mtu anafanya hiki kilimo au ana ufahamu nacho ni vema ukashea uzoefu wako hapa kwa manufaa ya wengi, Asante sana. ============ Kilimo cha maua ni sayansi au sanaa ya kukuza matunda, mboga mboga...
Back
Top Bottom