Je, kuna uhusiano wa Meditation na Uchawi?

Inategemeana na aina ya meditation unayotaka kuifanya wewe, maana meditation nyingine ni demonic lakini kwako wewe uliyeokoka unatakiwa kufanya biblical meditation ambayo hii unatumia neno la Mungu Kama center of your meditation. Kama upo serious nicheki kwa namba hii ili nikutumie vitabu vitakavyokusaidia katika aina hii ya meditation yaani biblical meditation.
0742304314
 
Kuna neno linalo sema MAONO ndani ya BIBILIA Hilo neno ni Kati ya meditation sasa inategemea usafi ulio nao kiungu na sivingine. MAONO mengine niyakipepo Cha muhimu uwe mwangalifu kupokea utakacho kiona je ni MUNGU au pepo.
 
Kabisa
Naunga Mkono.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom