Ndiyo mkuu.Hivi hawa kuku chotara huwa wanataga na kuatamia mayai na kutotoa kama wa kienyeji?
Kwa hiyo mtu unaweza kufuga chotara wanataga unatotolesha kwwnye mashine au pia wao wanaatamia na unazalisha chotara wengine? Au ndo mayai yao sio fertile??Ndiyo mkuu.