Recent content by jrmatoghi

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nimesitisha uhusiano na rafiki wa mume wangu, hataki kukubali

    Omba toba kwa Mola wako na usitishe mahusiano hayo ya kishetani bila kuogopa vitisho kutoka kwake bali mtegemee Mungu.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yazitaka TRA na TPA kubaini chanzo cha kupungua kwa shehena za kontena bandarini

    Pengine ni wale mafisadi waliokuwa wakipitisha mizigo ya kwa kutorosha makontena sasa hawapati nafasi hiyo tena.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Big size doesn't matter!

    Ufundi zaidi, lkn sio kwa penis fupi na nyembamba.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, this is serious. Tafadhali usiruhusu hili!

    Mafisadi ukitaka kuwapa muda wa kujitetea lazima watakutoa knockout, endelea hivyohivyo mhe:Rais tupo pamoja.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nahisi mke wangu ana mahusiano ya kimapenzi na kaka yake

    Record maongezi yao kwanza, pengine huyo shemeji yako si rizki!
  6. J

    JamiiForums Tanzania Hataki kutumia kondom kabisa,anasema mafuta yake yana athari kwa wanawake

    Usijisifu kwa zinaa kaka.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mbona Kijazi hasikiki kama ilivyokuwa Sefue

    Kusema chochote kunatokana na maelekezo ya boss wake (rais).
  8. J

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume nyani haoni kundule, kaa kimya

    Duuuuh!!!!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Rwanda iungane na Tanzania kuwa nchi moja

    Muungano kama huo hauwezekani kwa Dunia ya sasa ambapo kila nchi ina mikakati yake na aina zake za utawala.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Zoezi la ukaguzi wa watumishi hewa linatia shaka

    Wafanye hilo zoezi kwanza tuone itakuwaje.
Back
Top Bottom