Recent content by JrAssess

  1. JrAssess

    JamiiForums Tanzania Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) una faida nyingi kwa Watanzania

    Ndiyo hii mradi wanayo inunulia mabehewa used au siyo hii Kama ni hii basi hakuna la maana sana.
  2. JrAssess

    JamiiForums Tanzania Kadogosa: Tumenunua Vichwa na Mabehewa mitumba kwa sababu Mpya za show room tulikosa na za kukodi Bei zilikuwa kubwa kuliko Mitumba!

    Kwani kipindi wanataka kuanzisha hiyo project ya SGR..... Walikuwa hawana critical analysis yakutosha mpaka wanakuja kungundua baada ya ku_finalize project... Shame
  3. JrAssess

    JamiiForums Tanzania This you will never learn in school

    The strong technical problematic for African ...., Is all about selfishness
  4. JrAssess

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni: Sitaki Kuwa Sehemu ya Wasaliti wa Afrika. Apiga Marufuku Kuuza Madini ghafi ya Uganda, Tanzania tuna la Kujifunza

    Sioni Chakujifunza yoweri mseveni....., Kwa maana hamekalia madini hayo 45yrs. Then Leo ndio aje na sera ya kutaka kuongea thamani Hata ivyo Uganda hakuna madini zaida ya wanayo waibia kabila Kongo...
  5. JrAssess

    JamiiForums Tanzania Mama anatafuta njia ya kumrudisha Kalemani bila kumuudhi January, miezi 3 sasa bado hajapata njia sahihi

    Sioni kama kalimani ni Mwarubaini wa tatizo la UMEME nchi hii... Tatizo ni mfumo uliopo kwa maana ya namna ya Usimamizi wa Rasilimali zetu ni WA ovyo sana. Kila hatakae ingia niazima atengeneze mazingira yake ya upigaji na namna ya kutoboa, Ila siyo Maslahi ya Taifa,
  6. JrAssess

    JamiiForums Tanzania Mama anatafuta njia ya kumrudisha Kalemani bila kumuudhi January, miezi 3 sasa bado hajapata njia sahihi

    Andishi nzuri sana .... Ila umekosea kusema ni Moja Kati Yao , Yani CCM so utabadiousha nn ndani ya mfumo iliyo hoza mkuu Kimsingi hapo omba Mungu siku update kiti Cha u_rais then ndio unaweza kufanya transformation .... Unless otherwise unatwanga maji kwenye kinu kama wasemavyo waswahili...
  7. JrAssess

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aiingiza tena Tanzania kwenye Nchi 10 Tajiri zaidi Africa 2022|23

    Kama hela ya kukopwa inaweza kuinua uchumi wa nchi .... basi sisi ni matajiri barani Africa, Kama ni kinyume na hapo basi sisi WaTz tutazidi kuwa maskini wakutupwa....,
  8. JrAssess

    JamiiForums Tanzania LINGANISHA NA TOFAUTISHA: Misri kutumia Tril. 4.5 kuzalisha umeme GW 1.1, Tanzania Tril. 6.5 kuzalisha Mgwt 2115. Watanzania tulirogwa na nani?

    Hii ndiyo inaitwa critical paths sasa....yaani jamaa wanatumia hela ya mradi wetu kujenga mradi yao, Duuh, Wa_Tz tuna safari ndefu kuinuka kimaendeleo...., Ubaya ni kwamba viongozi wanatafuta mtaji ya kuendeshea miradi yao kufa kufahana
  9. JrAssess

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Mwenyezi Mungu iliyo ndani ya Rais Samia imemfanya kuwa mkweli na muwazi katika Uendeshaji wa Serikali

    Kusudi la mapanbio haya ni Nini..... , Kiongozi kutekeleza majukumu yake kama inavyotakiwa kisheria Kuna shida Gani mpaka kuwe kumtukuza Ivyo, Kijana pambana na hali yako. Dunia haiwezi kutambua thamani Yako kama wewe...haujaitambua wewe mwenyewe.... Sent using Jamii Forums mobile app
  10. JrAssess

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaidhinisha Mkopo wa Shilingi Trilioni oni 1.8 kwa Tanzania kwa ajili ya Sekta ya Afya na kuimarisha Uchumi

    Kwamba tuseme mkopo ni swala endelevu.... Anyway tuseme hii 1.8 trilln okn+ 91.01 trin, Ile ya nyuma inaweza kufika 100trin son as possible in 2023.., Tukupe kwa strategic planning na siyo tunakopa kwenda kufanyia shopping ya sikuku za mwisho wa mwaka..... Sent using Jamii Forums mobile app
  11. JrAssess

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Vitabu nilivyosoma Mwaka 2022

    Mhe, Zitto kabwa watalaamu wanashauri tusome vitabu ili tuongee maarifa na busara katika kufikiria mambo ..... Sasa kwa imekaaje ili Hali unasoma vitubu vingi ila bado upo kwenye fikra zilezile za mwanzo, Nilitegemea uje na potential benefits za izo vitabu ulivyo visoma na zikiwa na impact...
  12. JrAssess

    JamiiForums Tanzania Umaskini wa watanzania ni wa kutengenezwa, hautakwisha kamwe

    Kwa uandishi sina shaka kuwa mwandishi .... anaweza kuwa na asili ya nchi jirani neither kenya au Burundi, kwa maana hanashangaa kuona idadi ya rasilimali tulizi nazo na ukwasi mkubwa wa watu zaidi jumuia yote ya East Africa... Wenda nikuweke wazi wa_TZ wengi ni wafungwa wa kifikra, ndio maana...
  13. JrAssess

    JamiiForums Tanzania Wahadhiri kuomba kuongezewa muda wa kustaafu kutoka miaka 60 hadi 70

    Kidogo angependekeza hata 65. Kwa maana welidi inapungua kadri umri inavyo zidi kusomga mbele
  14. JrAssess

    JamiiForums Tanzania TANZIA Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi, afariki dunia kwa ajali ya Gari

    Siku zako zakuishi zimekwisha..... My balozi Kila la kheri, Mungu ni mwema
  15. JrAssess

    JamiiForums Tanzania Jipatie jiko la gesi la kulipia kidogo kidogo kama luku kuanzia sh 1000

    Tuma picha tuzione mkuu
Back
Top Bottom