Recent content by jperson

  1. jperson

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu haya kuhusu Malcom X, Elijah Mohamed na Minister Farrakhan

    Kaangalie movie inaitwa Godfather of harlem
  2. jperson

    JamiiForums Tanzania Unajua Mungu aliumbwa na nani?

    Every one is dying slowly,mtoto aliezaliwa leo peke yake ndie aliebaki nasiku nyingi za kuishi probably. Hivyo kifo sio kitu cha kumtisha nacho ,every one will die its just matter of tym😁ko usiitumie kama presuure yakumalzimisha aamini unachokitaka.kama unajiona uko shallow ka kimyaa,MUTE.😊...
  3. jperson

    JamiiForums Tanzania Dini zinamilikiwa na Wazungu au Waafrika?

    Yesu ni black
  4. jperson

    JamiiForums Tanzania Dini zinamilikiwa na Wazungu au Waafrika?

    Hio hio bibilia unayoitumia unajua imeandikwa na nani😂 unamjua king james wewe. Hi dunia inasiri nzito sana afu nyingi sana ,nikuambie tu ukwi the only way u can see God is through pinel only. Nina machache kati mengi ninayojua kuhusu hi dunia ukiyajua utabaki dilema tu
  5. jperson

    JamiiForums Tanzania HESLB account

    Mm kureset inagoma kabisa. Sasa sielew kwenye kipengele cha namba ya smu una andika iliotumika kufungulia ama yeyote inayopatikana kwa sasa
  6. jperson

    JamiiForums Tanzania Niwasimulie kisa cha Babu yangu aliyekuwa kama baba yangu

    Nipo bagamoyo cartex hapa
  7. jperson

    JamiiForums Tanzania Gharama ya maisha Marekani sio mchezo, hebu ona bei ya hizi bidhaa

    Hio ni hela ambayo mtu anaelipwa kiasi kidg sana cha pesa na anafanya kazi zaidi ya masaa 8 .ko ni kiasi cha kawaida tu.maana mfano mm nipo usa texas nimsaidi wa gari la taka kwa saa nalipwa dolla 20 nafanya kaz masaa 8 hadi 9 kwa siku nalipwa kama dolali 180 ambazo ni sawasawa na 414,000 kweli...
  8. jperson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina uhusiano wa kimapenzi na aliyekuwa mpenzi wa mdogo wangu wa Kiume

    Men, Respect bro codes No man should date with bros ex No man should flirt with bros wife No man should date bros sister You will creat a chain game that will destroy your marriage trust me bro Dont choose to example in your vilage
  9. jperson

    JamiiForums Tanzania Kuzaliana kunamsaidia nini kiumbe anayezaa?

    Hamjamuelewa mwamba, hazungumzii short term profit anazungumzia longterm.babu wa babu wako wa babu wako amefaidika na nn kuhusu wewe.ukifikilia kwa umakini unaona hafaidiki na chochote. Sasa swali lina pop up! Kichwani mwake kua au tunaishi .na hatujui kua labda sisi nikitoeo.kua ukifa unaenda...
  10. jperson

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnaobugia P-2 kimazoea pitieni hapa

    Dawa nikuoa bikra
  11. jperson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume ukiwa na sifa ya ukorofi bado uko salama kwa wakwe zako

    nice guys are weak men⬇️ never ever be a nice guy (even women hate nice simple guys) 😅 girls be like _ he is too nice boring
  12. jperson

    JamiiForums Tanzania Ndizi mzuzu zinauzwa bei gani huko mikoani?

    Unahitaji kiasi gani kabla ya yote mm ninashamba kubwa, Hadi na lishia ng'ombe
  13. jperson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachwa tena

    Mwanaume haitaji kupenda ,anahitaji kuheshimiwa(respect & royalty+feminine woman) haitaji mwanamke feminist kama ww
  14. jperson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni dawa gani madhubuti kwa mwanamke asiyesikia?

    Dawa madhubuti ni ww kua mwanaume
  15. jperson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Wanaume naomba mnifundishe kutongoza na Wanawake mnipe ujuzi wa kuongea nanyi na kuwatongoza

    Njoo pm mkuu nikupe kozi na vitabuu ukasome
Back
Top Bottom