naomba maoni yenu!!! kuna kampuni maarufu kwa uzalishaji wa vyandarua mkoni arusha, kampuni hiyo inawalipisha nyumba za kuishi wafanyakazi wake kwa gharama ambayo haifai hata kidogo.gharama ya hizo nyumba ni kama ifuatavyo;double room ni sh laki moja na sabini (170,000/=),single room shilingi...